Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la kawaida.
Timu yao ya taifa ilikosa hata friendly match kutokana na ubovu wao. Ila leo wanahitaji...