usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

    Magari hayatembei both ways, je kuna sababishwa na nini? Ni zaidi ya nusu saa sasa. Tarehe ni 09/12/23
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  3. Zeemadeit

    JamiiForums Tanzania Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja...
  4. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  5. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kwa hili "Fukuto la Joto" la usiku huu, Dar tujiandae kwa mvua ya haja

    Usiku huu hapa Dar kuna joto lisilo la kawaida... Joto ni kali sana, huku kukiwa hamna kabisa upepo unaovuma... Kwa nijuavyo, kwa hili fukuto la joto, kinachofuata ni mvua kubwa sana.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabasi ya Rombo - Dar yanaanza safari usiku wa manane. Kuna madhara yanaweza kutokea!

    Ratiba ya mabasi hayo yanaanza kutoka Rombo saa 9 usiku na basi la mwisho saa 11 alfajiri. Jambo hili licha ya kuleta usumbufu kwa abiria lakini pia linahatarisha usalama wa abiria kutokana na mazingira ya eneo husika. Maeneo mengi ya Rombo yametawaliwa na uoto uliofungamana (miti, vichaka na...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

    Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe. Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Usiku unaokumbukwa na Wamarekani Weusi mpaka leo

    Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza. Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  12. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Huu ni muda mzuri usiku huu kufanya maombi

    Wakuu mnaopitia humu usiku huu ni muda mzuri sana kufanya maombi. Maombi unaweza ukayafanya kwa kufukiria bila kutamka. Mungu anasikiq tunavyofikiria
  13. U

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimeenda dukani kununua sindano ya mkono usiku huu wakanikatalia na kunitilia shaka

    Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale. Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
  16. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

    Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo..... ================= Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
Back
Top Bottom