Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,251
14,228
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
 
Kwa hiyo hujui raha ya kubadilishana joto?
Huna uzoefu wa kukumbatia huku umegeuziwa wesere?
Siku ukikumbatia mrembo kwa nyuma mwenye ka taco flani utatamani ufute uzi huu.
Aaaah 😂😂😂
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?

Unajua maswali mengine ni ya kipumbavu, wewe umewahi kuona wapi watu wagandiana wakitaka kulala usingizi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom