Yawezekana hii ndiyo sababuBarabara ya Bagamoyo to Dar imefungwa.
Hii inasababisha magari yote toka kaskazini yapitie Chalinze na magari yaliyokwama kati ya daraja linalounga Dar na Bagamoyo...yarudi nyuma na kulazimika kuelekea Mlandizi kwa kutokea Bagamoyo.
Huenda hii okawa sababu mkuu
Kuna zimwi jukuu la Shing'weng'we linaitwa Sumbalawinyo limemeza udongo unaoshikilia daraja la Mapinga BagamoyoMagari hayatembei both ways, je kuna sababishwa na nini? Ni zaidi ya nusu saa sasa. Tarehe ni 09/12/23
Chadema wamebomoa Hilo darajaKuna zimwi jukuu la Shing'weng'we linaitwa Sumbalawinyo limemeza udongo unaoshikilia daraja la Bagamoyo
Mkuu hujajifunguaga hiyo mimber uache kuwachukia bure?😂😂😂Chadema wamebomoa Hilo daraja
Walichimba mchanga wa kujenga Lile gofu pale Kinondoni
Yawezekana hii ndiyo sababu
LoriBarabara ishafunguka japo gari ni nyingi,kuna roli lilianguka katikati ya barabara pingo karibu na chalinze....
Dah mkuu ilo swali lako mwisho wa siku utauliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe sasa si tutajuaje mkuu na usiku wote huu
Hii imetoa mwanga kuhusu chanzo cha tatizoMida flani mchana kuna magari2 ya mizigo yalikula mbono mitaa hiyo. Ila tatizo likawa resolved ndani ya masaa3 magari yalikuwa hayapiti foleni lakwenda!
Pengine tatizo limejirudia tena...!
Hapo Ruvu mvua zikizidi, upitaji wa magari ya mizigo huwa changamoto sana so kuweni wapole tu na hii ndo Bongo kuchechemea ndo zetu wechu!
Dar Es ~MorogoroHiyo barabara ni ya kupewa kipaumbele ...
Wewe umewahi kuwa waziri mkuu?Barabara ya Bagamoyo to Dar imefungwa. Hii inasababisha magari yote toka kaskazini yapitie Chalinze na magari yaliyokwama kati ya daraja linalounga Dar na Bagamoyo...yarudi nyuma na kulazimika kuelekea Mlandizi kwa kutokea Bagamoyo.
Huenda hii okawa sababu mkuu
Mkuu sijaelewa msingi wa swali lako ndgWewe umewahi kuwa waziri mkuu?