Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

Zeemadeit

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
776
1,556
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .

Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .

Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
 
Sasa wewe mwanamke kazi yako ni ipi kama mshauri wa familia
 
Inaonekana humo ndani hakuna maelewano...mambo yenu unayaleta humu
 
Changamoto ni ujio wa Mamkwe, kuna uwezekano mtoa mada ali react vibaya Mama alivyotaka kwenda na mtoto dukani, bahati mbaya mume akasikia , au mama mtu kimemuuma akamwambia mwanae( kama alikosa hekima lakin)
Nilimjibu kawaida na mume alisikia nilimwambia naona imekua usiku nitaenda tu mimi au dada.
 
Back
Top Bottom