Wife huwa haniachii msosi wa usiku

Wife huwa haniachii msosi wa usiku

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,182
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
 
Mkeo yupo sahihi. Kwani ww si unakuwaga unakunywa pale kwa Mangi na pana huduma ya kitimoto? Yan uache chakula huko ulevini halafu uje kudai cha nyumbani? Jitafakari aisee.
 
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
Mkeo hataki ulevi wako kwa lugha nyepesi, mkeo anataka uwe nyumbani ifikapo jioni na sio usiku . hiyo ni lugha mkuu ya vitendo
 
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
Jitafakali sana kwenye huo mwenendo wa maisha yako...all in all wew ndio tatizo katika hiyo ndoa na hayo wew ndio uliyo sababisha..hebu jaribu kukuwa sio mwili bali kiakili..
 
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
Chakula cha usiku ni mbususu. Unafeli wapi?
 
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
Kamsemee kwa mama au baba yake ili amchape viboko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom