Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,223
Reaction score
3,169
Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬

38111b50-c678-40db-866f-407eed33b1a0.jpeg
b4a49f34-ab66-474b-9806-ac5a3a1211ac.jpeg

Ndio boss wangu Venchwa, ebu okotesha hapa vijana wenzio hata 200$ tajiri
 
YOTE NI UBATILI
Hata mimi ni masikini mwenzako ningependa kusema hivyo kujipa matumaini ya maisha baada ya haya wakati hata sijui kama kweli kuna hayo maisha au ni ngano za kale tuliingizwa chaka na watu wa majahazi
Kwahiyo kama nafasi kufurahia haya maisha ya hapa, nitayafurahia bila kikomo na wala kinyongo kama sina uwezo badala ya kuyakanusha na kuyaita ni UBATILI
 
Sijakataa kufurahia maisha ila tukumbuke ni kujilisha upepo hekima za suleiman aliye enjoy life mpaka baaaas mwisho wa siku akasema ni ubatili mtupu
 
Back
Top Bottom