ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Alietumia dawa za Wachina za kuziba ufa waa kioo cha gari na kuondoa mikwaruzo akafanikiwa tunaomba ushuhuda wako

    Hivi karibuni kumekuwa na kila aina ya products za Wachina zikitangazwa mitandaoni na kusifiwa sana. Kuna baadhi ya products hizi ni fake na uongo mkubwa hadi unashangaa kwa nini serikali inaruhusu utapeli wa namna hii kwa wananchi wake! Mojawapo ya products nimeiona kwenye mitandao ni hizi za...
  2. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

    Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali. Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni vyeupe, havitoi maji wala usaha ila vinasambaa kwa speed kali sana na vinakua hararaka sana...
  5. bibliatimes

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda ukusaidie

    USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU 👇♨️♨️♨️♨️👇👇 [5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano. Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii nikairudia 😭😭😭😭 Mungu anasema , Mungu anasema n Mungu ni mwaminifu hakika Mungu mwacheni abaki kuwa...
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  7. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

    Habari wana Technology, Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom. Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii. Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
  8. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nahisi nilikuwa naanza kuchanganyikiwa

    Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma. Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze. Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single...
  9. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Huu ushuhuda wanga msitembee na wanawake wa karibu na mnapoishiii

  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa kuogeshana na mpenzi

    Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione alipoingia bafuni nikamgongea mlango akafungua nikaingia kuoga Nikamwambia naomba uniogeshe huku...
  11. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Unaweza toa ushuhuda wa hivi?? Kuna watu ni majasiri

    Wakuu, Ivi ww unaweza sema hivi hata kama ni kweli?? Kua mkweli
  12. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

    Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu. Baada ya kukaa muda...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

    Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

    Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia Min Power Tiler atupe ushuhuda

    Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  18. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Mungu alichokutendea hapa

    Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia. Binafsi Kuna mengi MUNGU kanitendea ila siwezi kuyaeleza yote. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo...
  20. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mapenzi makaburini

    Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...
Back
Top Bottom