Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 903
- 789
Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu maneno ya watu, Mungu anaweza kufanya jambo kubwa kupitia kila hali.