Ushuhuda: Ulijuaje kuwa demu wako ni "Msungo"?

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
520
Reaction score
973
Hii ni stori ya kweli:

Nakumbuka ni miaka kadhaa imepita,kipindi niko form 4,Kuna binti mzuri wa kwenda.tumpe jina Irene.
Irene alikuwa ni rafiki mkubwa wa mtoto wa dada yangu,walisoma skul moja ya msingi, lakin sekondari walisoma walisoma shule tofaut lakn zote za mji mmoja,
Mimi form 4,wao form 2 na kila mtu shule yake
Asa siku moja nikatoa uzito kwenye ulimi,nikamuibukia mtoto "IRENE" nikamwambia yaliyokuwa moyoni mwangu,ila alichonambia ni kwamba "anaogopa maana hajawahi kuwa na meanaume kwahiyo hajawah kuliwa mbususu.
Ila akaniambia atanijibu kwahiyo nimpe muda ili afikirie......
Siku zikasonga,siku ya kupewa jibu ikafika,tukameet mahali,tukaongea akaafiki kuwa na mim kimahusiano,... Sasa kwenye kula mbususu ndo kikaanza kisanga.
Kila nikimwambia kuhusu stori za mbususu,anadai anaogopa .
Bahati nzuri pale home kulikuwa na dogo wa kiume,huyo dogo alikuwa anasoma na kaka yake IRENE, Kumbe kaka yake IRENE nae kishasikia stor zangu na dada yake ,pili alikuwa anajua dada yake ana mshikaji (rafik yake pia) ndo anakula mbususu ya dada yake (kumbuka mimi naambiwa hajawah kuliwa na hana mwanaume)
Na bahati mbaya zaidi yule demu kishatoa hadi mimba akiwa form 2.
Yule dogo akaja kuniambia huwo ubuyu. Sikupanic Wala kumaindi.
Siku moja kama kawaida yake akitoka skul lazma apite pale home kwa rafiki yake, ilikuwa jion.
Nikamuomba kumsindikiza, njiani ni stori za kawaida,tulipofika sehemu tukakaa,nikaanza kumuuliza zile stori, kuhusu bikra hadi kutoa mimba.
Hakuwa na jibu la kunambia ila alianza kulia,nikaanza kumuonea huruma tena, nikamwambia pole, sikuwa na nia ya kumliza,
Nikamuaga,nikarudi home.
Toka siku hiyo,haatukuwahi tena kuongea.
 
Story kali iendeleze...🙏✍️
 
Back
Top Bottom