Ushuhuda

Ushuhuda

MgosiMnubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
1,584
Reaction score
2,755
Kwanza kabisa nianze kusema hakuna kitu kinaumiza Kama kukosa mchongo
Ni nadra Sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa SAWA endapo Hana mishe inayoeleweka yakumpatia hela .
Juzi kati kuna mtu alileta ombi la kazi na sehemu ya kuishi (bahati mbaya ule Uzi umefungwa for further reply)
Mzee wetu Ushimen
Alicomment simpo tuuh lakin kwa wachache waliozingatia ushirikiano toka kwake ulikua ni direct Sana
Sina mengi yakusema Ila story hii itunze ITAENDELEEA..... kwa sasa hivi tukutane chunya
KAMA UNATAKA MALI UTAIPA SHAMBANI
ALAMSIKI .
 
Back
Top Bottom