Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

RomboMoshi

Senior Member
May 17, 2021
188
228
Habarini wanajamvi!

Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa) sababu ya shule na baadhi ya majukumu ililazimu nyumbani kuwepo na msaidizi ila ninachokumbuka km wadada wawili waliowahi kuwepo nyumbani pale mama aliwashutumu vikali kuhusu vitendo vya kishirikina na na wakawa wanaondolewa!

Sikuwahi kutilia maanani sana maana nilikua mtu wa kusoma boarding schools hivyo hata hao wadada wenyewe nilikua nawaona kwa msimu mdogo sana mbali na mama yangu sikutilia sana maanani mambo hayo japo nimesikia visa tofauti hata kwa watu wa karibu mpk lilipokuja kutokea katika familia yangu.

Baada ya kuoa nilikaa takribani mwaka mzima bila msaidizi ila kutokana na majukumu ikabidi awekwe sikupenda sana wazi hilo kutoka kwa wife sababu sikuona sababu ya yy kumuweka mapema ukizingatia tulikua bado hatujapata mtoto na baadhi ya kazi nyingi nilikua nafanya labda kaz kubwa kwake ilikua ni kuosha vyombo na kupika maana usafi na kufua ni vitu ambavyo hua napenda kuvifanya tangia kwetu jinsi mama alivyotulea na hata kupika hua napika nikiwa nipo vizuri sema nilivyoona amelishikilia nikaona haina shida ila nilichomwambia ni kua km ww umetaka aje basi utamlipa wewe maana mm sikuona umuhimu wake kwa muda ule.

Tuliakaa nae kwa takriban mwaka ila alikuja kupata mwanaume akaolewa hivyo ikamfanya alete mwingine! Yule sikusikia shida yake yoyote zaidi ya mapungufu ya kawaida tu km binaadamu na mnajua wanawake wakikaa sehemu 1 wanavyobehave weird so it wasn't a big deal! Kasheshe ikaja kwa huyu mwingine alitolewa mikoa fulani huko nisingependa kuitaja lakini kalikuja kadogo tu umri kati ya miaka17-20..aisee kale kabinti kwanza kalikua kana vimitego vya kishenzi shenzi km kajitu kazima! Yaani kakikutengea chakula kanavyojilegeza mara kainame kamevaa mashanga...kuna siku nilichelewa kurudi wife akawa amelala alivyosikia nimeingia akatoka huko room kwake mara atake kuninawisha nikamjibu tu kalale ntanawa si kuna sink la maji hapa dining...mara kaka ww ni mweupee hua unapaka nini!? Nikasema hili ni balaa nilichofanya ni kua nakakazia sikutaka mazoea.

Sababu on the spot nilikua na wife na another mistress of mine hivyo sikuona sababu ya kuwasha kitu km kile aisee! Tuliendelea hivyo hivyo kibishi ila hamuwezi amini kuna siku tulitoka kwenye harusi tukawa vyombo kidogo wala sio sana sababu nilikua na utimamu wote japo wife yy aliwaka zaidi yangu nikasema ngoja nimdrive home halafu ile nimemuacha kapumzika nikamchek my other woman niende akaniambia alikua anarudi na yy toka kwenye harusi nyingine hvy nikamuomba tuonane walau tupashe kidogo then ndio turudi home (home sababu by the time nilikua nimepanga nyumba nzima nyumbani kwa kina yule binti hiki kisa nilishawahi kukielezea) hamuwezi amini wakuu nimefika hotel na yule mtoto akili ikanituma nirud tu home niende kwa yule housegirl kwa nn nampotezea kila siku...hata show sikupiga japo nilikua namfeel sana yule binti nikatoa sababu akaelewa tukarudi.

Ile naingia ndani km kawaida yake akatoka sebleni na kaka zake za kinafki! Sielewagi mpka leo ule ujasiri wa kumla yule binti ulitoka wapi tena sebleni kwangu na wife akiwa room kalala tena kavu...nyie acheni kabisa ila km Mungu nilikumbuka kumwaga nje! Baada ya kile kitendo nilijilaumu na kujishangaa kwa wakati mmoja sema ikawa ishatokea..asubuhi niliamka akawa anajichekesha nilimkazia km sio mm nliemla usiku nikawa km kuna muda nakaa sawa kuna muda namchukia!

Ilidumu ile hali within 3weeks ila sikurudia tena kulala na kile kituko sema kubwa nilimwambia wife amuondoe akawa nae analeta ubishi ukizingatia anamlipa yy nikakausha! Mungu si athumani sijui nn kilipotea humo ndani wife akahisi binti yule kaiba akaingia room kwake kumkagua wakati kamtuma...aisee alikutana na vitu vya ajabuu! Vifundo fundo vya kila aina mara sijui mashanga ya kiunoni nahisi ndio yale anayoyavaaga....vidawa dawa kibaoo na chini ya uvungu kulikua na chungu kimeandikwa maandishi ya kiarabu na wino mwekundu yasni inshort ni mavitu ya ajabu tu! TULICHOKA.

Akarudi kutoka huko alikotumwa tukambana aseme wapi akajifanya analia nikamwambia huyu niachie mimi! Nilimpa makofi kadhaa akasema basi nasema...akasema vile vitu ni dawa ila yy sio mchawi alipewa ili aogee mvuto sijui anivutie mara vingine aniwekee kwenye chakula mara maji ya kuoga yaani mambo kibao ili nimpende yy...na kile chungu alitakiwa akipasulie njia panda na majina yetu ili wife na mm tuachane hlf nimpende yeye! Jamsni wakuu nilimpiga sitakaa nisahau katikati si akasema nilimla...nilimruka futi 100 halafu huo msala hadi yule mistress wangu alikuja kushuhudia alivyosikia hayo na wife nae ilibaki kidogo nizirai yaani nipoteze vyombo vyangu vya maana sababu ya yule mpumbavu!

Nilizidisha makofi mpk nilishikiliwa aisee sitakuua kusahau! Wanaume tunarogwa sana aisee sasa imagine labda wife nae aniroge...yule mistress nae aniroge kwa mfano....hivi vyeo vya maofisini urogwe...biashara nirogwe...binti wa kazi nae aniroge kuna usalama kweli hapo???

Ila yule binti alitimuliwa siku hiyo hiyo na niliaminika kua sikumla na baada ya hapo alikuja binti baada ya wife kujifungua mtoto wa kwanza na huyu mama alimleta toka kwenye familia nzuri tu alitoifahamu...aisee sina hamu mimi! Huyu amekua dada mwema na kapata mchumba soon tunamsend off.

Dada zangu kuweni makini sana na hawa viumbe kwa waume na watoto wenu baadhi si wazuri kabisaa!

Sameheni uandishi wangu si mwandishi mzuri sana ktk kufata kanuni za uandishi.

Leta experience yako na ww!
 
Ila hivi vi beki 3 huwaga vitamu sana aisee,ukute kana sura na umbo zuri,umekatoa kijinini huko ukakaleta town,halaf kapo ndani masaa yote,ukakapigisha mikaango ya town miezi 6 na lotion kakapata,,..aloo huwaga vinatakaka balaa,kukiacha ni Mungu tu akusaidie,.,.hongera kwa kukashtukia uchawi hako ka kwako ila nahic kalikua kabaya na sura ya kichawi,
 
Hapo uchawi ni lile gambe ulokunywa ndio maana ukapata ujasiri wa kumla sebuleni huku wife yupo room.
Ndio maana ulivyorudi 'nyutro' ukaanza kumkazia maana uchawi wa gambe umeisha.

Ila sasa mtu mzima kama wewe kwa nini ukapige kasichana jombaa!?.
Si ungekafungashia tu vitu vyake kasepe!.

Kumla ulifeli ila kumpiga ulifeli sana.
 
Ila hivi vi beki 3 huwaga vitamu sana aisee,ukute kana sura na umbo zuri,umekatoa kijinini huko ukakaleta town,halaf kapo ndani masaa yote,ukakapigisha mikaango ya town miezi 6 na lotion kakapata,,..aloo huwaga vinatakaka balaa,kukiacha ni Mungu tu akusaidie,.,.hongera kwa kukashtukia uchawi hako ka kwako ila nahic kalikua kabaya na sura ya kichawi,
Mungu awabariki wake zetu kwa kuleta majembe ya usaidizi...
 
Habarini wanajamvi!

Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa)...sababu ya shule na baadhi ya majukumu ililazimu nyumbani kuwepo na msaidizi ila ninachokumbuka km wadada wawili waliowahi kuwepo nyumbani pale mama aliwashutumu vikali kuhusu vitendo vya kishirikina na na wakawa wanaondolewa!
 
Home sisi tunastory nyingi kuhusu house girl ila kali ni hii tulimla house girl mmoja kuanzia Baba na watoto 3 yaani kila mtu alikua anajisevia kwa wakati wake bila kujua, nakumbuka kuna siku nilitoroka shule nikamle, na kaka yangu kumbe nae alitoroka shule akamle lmimi ndio niliwahi mapema ilibidi bro arudi tu shule ila ikabaki kua siri yetu kumbe kaka mkubwa nayeye alishamkuta mzee kwenye 18 zake nao waka mute ikawa siri yao, tunashuruku yule binti alikua mzima laasivyo familia nzima ilikua inateketea na alidumu pale home karibu 4 years, ushauri tu muhimu sana kutambua afya ya mfanyakazi wako wa ndani kwa dharula yoyote.
 
Back
Top Bottom