Ubakaji na ushirikina

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,269
Habari wana jamvi.
Kuna matukio mengi yanatokea hapa nchini mengiyo yanaacha maswali mengi kuliko majibu.

Nizungumze kidogo ubakaji.
Kuna matukio mengi tunayasikia yanayohusu ubakaji tena wa watoto wadogo na watoto wachanga.
Maswali hapa je huyu mbakaji anatafuta kile kinachopatikana kwa wakubwa?
Huyu mbakaji anategemea matokeo yale yale kutoka kwa haka katoto?
Mbaya zaidi unakuta ni mtoto wake...mjukuu...mpwa...
Ukweli ni kwamba hawa ni moja ya yake makundi ya wanaotoa kafara.
Na kafara zipo za aina mbalimbali.
Hii nayo ni mojawapo.

Maelezo ya mganga : fanya ngono na mtoto mdogo hadi mshindo halafu leta manii zitakazokuwa zinatoka.

Hapa mbakaji ana lengo labda la kutafuta utajiri... heshima....nk

Nipo geita kwa kipindi kirefu na nimekuwa nikidadisi habari za waganga...watu na utajiri.

Bwana mmoja akaniambia yeye aliambiwa abake mbuzi then apeleke manii baada ya ejaculation na hizi ni zile zinazotoka kwa k ya mbakwaji (mbuzi) na ukizingatia nyumbani hana mbuzi😁😁😁😁.
Sijui alishatimiza au la.☹️☹️☹️☹️

Pia kuna jambo la ajabu nimeliona.....
Kuna vijana wamezaliwa na uhanithi sababu wanasema kitovu kilidondokea kwa dushe kipindi wachanga....hilo nimelisikia sikia.
Dawa yake ni KUGUSISHA DUSHE KWA K YA MAMA YAKO☹️☹️☹️☹️☹️ ETI NDIO DAWA INACHANGANYWA....INAAMKA MAZIMA.
Mh bora nibaki hivyo hivyo..
Screenshot_20210830-165939.png
 
Mganga, mchawi,mwizi, jambazi wote boss wao ni mmoja.
Hili kundi linaumiza na kuharibu Sana maisha ya wengi.
Hili kundi alifai kabisa kuishi na Jamii.
Thus ulaya walifanya msako mkali sana wakaliteketeza kabisa ndo wakapata maendeleo.
Ingekuwa ni uwezo wangu hili kundi lingefurushwa mbali kabisa na Jamii ndo chanzo cha ufukara wetu.
Linaumiza na kuharibu Sana jamii kundi hili.
Haya makundi ni katili Sana hayana huruma hata chembe usiombe uingie 18 zao.
 
Mshirikina, jambazi,mwizi,kibaka,mchawi hawawezi fanya kazi bila mganga.
Sehemu zenye waganga ni lzm makundi hayo yashamiri ikiwemo na makahaba,malaya wote hao mganga ndie boss wao.
 
Back
Top Bottom