Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC.

Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC walipeleka Viongozi wao wa Matawi ili wakaunganishe Nguvu na Waganga walioko Mkoani Kigoma.

Hakuna asiyejua kuwa zaidi ya mara Mbili Watu wa Yanga SC kwa Ushirikiano wao kutoka kwa Watu wa Matawi na kwa Waganga wa Kienyeji walihangaika mno kutaka Kuchota Nyasi na Udongo wa Uwanja wa Lake Tanganyika ili wafanikishe Ushindi wao leo katika Fainali ya ASFC ambayo imefungwa na Simba SC.

Hakuna asiyejua kuwa Jana Siku ya Jumamosi Makomandoo wa Yanga SC walifanya mno Fujo katka Uwanja wa Lake Tanganyika huku wakati Timu yao ikifanya Pitch Familiarization Session wao wakawa Wanaroga kwa Kumwaga Vitu vya Kishirikina Uwanjani hapo.

Funga Kazi ilikuwa ni leo wakati Timu ( Yanga SC ) ikiwa inaingia Uwanjani walikwepa kwa mara nyingine tena kupitia Geti Kuu walilopangiwa na Kupita Kwingineko huku body language ya Wachezaji wa Yanga SC ikionyesha walikuwa wameshaogopa huku Hofu juu yao ikionekana hali iliyoipa Urais Simba SC kuwa na uhakika wa Kushinda na Kujiandaa zaidi Kisaikolojia kuliko wao.

Hata hivyo Krav Maga kwa Kusema yote haya simaanishi kuwa Simba SC nao hawarogi isipokuwa Simba SC inaroga Kisayansi na Kisaikolojia zaidi huku ikiwekeza muda mwingi Kukisuka Kikosi Kisayansi na Kiufundi kwani kuna muda Uchawi unataka unaendana na Jutihada.

Yanga SC acheni Kutumia Nguvu kubwa katika Kuiroga Simba SC kila mnapokutana nayo bali Wekezeni muda wenu mwingi katika Kukiandaa zaidi Kikosi chenu nacho basi kiweze kubahatisha hata Kubeba Kombe la Kimashindano kwa Msimu huu achilia mbali kile wanachojivunua wao cha 'Deiwaka hi hi he understands
.
 
Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga kuliko timu yoyote hapa Tanzania. Ina maana miaka hiyo yote wanarogwa!! Vipi yale mapaka yenu hayafui dafu kwa Yanga?
 
tuwashawishi viongozi wa timu zote kuachana na utamaduni huu ila ki ukweli Yanga wajitathimini njia wanayotumia kujiandaa na dabi ni za kizamani sana, mfano kumkataa refa kisa alichezesha mechi za simba, kuingiza propaganda za cas na kutumia ushawishi wa baadhi ya viongozi wa simba kwa pesa kuhujumu
 
Walimuamini mno yule mtambo wa matusi
FB_IMG_1626078844194.jpg
 
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC.

Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC walipeleka Viongozi wao wa Matawi ili wakaunganishe Nguvu na Waganga walioko Mkoani Kigoma.

Hakuna asiyejua kuwa zaidi ya mara Mbili Watu wa Yanga SC kwa Ushirikiano wao kutoka kwa Watu wa Matawi na kwa Waganga wa Kienyeji walihangaika mno kutaka Kuchota Nyasi na Udongo wa Uwanja wa Lake Tanganyika ili wafanikishe Ushindi wao leo katika Fainali ya ASFC ambayo imefungwa na Simba SC.

Hakuna asiyejua kuwa Jana Siku ya Jumamosi Makomandoo wa Yanga SC walifanya mno Fujo katka Uwanja wa Lake Tanganyika huku wakati Timu yao ikifanya Pitch Familiarization Session wao wakawa Wanaroga kwa Kumwaga Vitu vya Kishirikina Uwanjani hapo.

Funga Kazi ilikuwa ni leo wakati Timu ( Yanga SC ) ikiwa inaingia Uwanjani walikwepa kwa mara nyingine tena kupitia Geti Kuu walilopangiwa na Kupita Kwingineko huku body language ya Wachezaji wa Yanga SC ikionyesha walikuwa wameshaogopa huku Hofu juu yao ikionekana hali iliyoipa Urais Simba SC kuwa na uhakika wa Kushinda na Kujiandaa zaidi Kisaikolojia kuliko wao.

Hata hivyo Krav Maga kwa Kusema yote haya simaanishi kuwa Simba SC nao hawarogi isipokuwa Simba SC inaroga Kisayansi na Kisaikolojia zaidi huku ikiwekeza muda mwingi Kukisuka Kikosi Kisayansi na Kiufundi kwani kuna muda Uchawi unataka unaendana na Jutihada.

Yanga SC acheni Kutumia Nguvu kubwa katika Kuiroga Simba SC kila mnapokutana nayo bali Wekezeni muda wenu mwingi katika Kukiandaa zaidi Kikosi chenu nacho basi kiweze kubahatisha hata Kubeba Kombe la Kimashindano kwa Msimu huu achilia mbali kile wanachojivunua wao cha 'Deiwaka hi hi he understands
.
 
mi nilijuaga unaufahamu vizuri mpira kumbe nawe wa hovyooo... hata km kuna uchawi kwenye mpira hakuna sababu ya ww kulishupalia shingo swala hilo...

mi nilidhani baada ya yanga kupata kadi nyekundu, kile kikosi kipana kilichoingiza mastaa wote uwanjani kingembugiza migoli ya kufa kiumbe kama 5 au 6 hv, lakini wapi... we unakuja kuongelea uchawi, are you serious? kwamba hakuna walichokuwa wakifanya huko walikokuwa kambi zaidi ya kutegemea uchawi... je baada ya uchawi unaowatuhumu nao kugoma kufanya kazi mbona simba walifurukuta sana kufika golini?

inabidi tu ukubali yanga now imeanza kuimprove, sio km huko nyuma na wangekuwepo wachezaji wote mwanzo mwisho, leo huu uzi ucngekuepo
 
Walivyo wabishi hawatalielewa hili usemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nilijuaga unaufahamu vizuri mpira kumbe nawe wa hovyooo... hata km kuna uchawi kwenye mpira hakuna sababu ya ww kulishupalia shingo swala hilo...

mi nilidhani baada ya yanga kupata kadi nyekundu, kile kikosi kipana kilichoingiza mastaa wote uwanjani kingembugiza migoli ya kufa kiumbe kama 5 au 6 hv, lakini wapi... we unakuja kuongelea uchawi, are you serious? kwamba hakuna walichokuwa wakifanya huko walikokuwa kambi zaidi ya kutegemea uchawi... je baada ya uchawi unaowatuhumu nao kugoma kufanya kazi mbona simba walifurukuta sana kufika golini?

inabidi tu ukubali yanga now imeanza kuimprove, sio km huko nyuma na wangekuwepo wachezaji wote mwanzo mwisho, leo huu uzi ucngekuepo
Nawe pia umeshindwa kuandika kiuwanamichezo.
Kwenye mpira huwa hakuna hizo kauli za 'inge' au 'ange'!.
Cha msingi mechi imeisha na Yanga imefungwa,basi.
Kuna mechi moja ya Simba na Yanga ilipigwa taifa nafikiri ilikuwa mwaka 2016.
Mchezaji mmoja wa Simba alipigwa red card wakati huo Yanga inaongoza kwa goli moja bila.
Mwisho wa mechi Simba iliibuka mshindi kwa magoli ya Mavugo na Kichuya pamoja na kuwa pungufu.
Hivyo hoja ya kuwa Yanga imecheza pungufu ndio maana imefungwa ni hoja ya kujifariji tu,tujifunze kukubali udhaifu wetu na kuwapongeza washindani wetu.
 
Back
Top Bottom