ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tunahitaji ushindi Taifa leo, kocha aanze na mfumo upi?

    Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi? 1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake. 2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
  2. JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

    Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
  4. JamiiForums Tanzania Wale tuliopata PM za ushindi wa shindano la story of changes na baadae tukaangukia pua njooni tujifariji humu

    Hello JF, Inauma kuwa close to the finishing line halafu usipate 😊😥 Hongereni washindi, sisi wengine tusubiri shindano lijalo, very sad.
  5. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Konde; Mbadala wa CCM ni chama kipya kutoka ndani ya CCM

    USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

    Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri? Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri? Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
  8. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

    Habari za asubuhi waungwana! Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala. Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko. Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Press conference ya yanga leo:Kocha Nabi kasema anahitaji miezi 3 muunganiko hawezi ahidi ushindi

    Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni Kazelona sasa sisi wadau wa soka tunaomba apewe atleast miezi 6 ili apate muunganiko maana hawa wachezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

    Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha? Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Filipe Nyusi Atangaza ushindi Msumbiji Cabo Delgado. Raia watanzania walihusika?

    Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly all areas that were seized by militants in Cabo Delgado province. President Nyusi said some locals...
  13. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mayele aipa ushindi Yanga, matumaini kibaoooni shangwe kubwa kwa wana Yanga

    Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ushindi wa 2025 uchaguzi mkuu ni lazima - Tunafuta tozo za aina yote kwa mteja

    Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Uthubutu ni ngao ya ushindi

    Changamoto tunazokabiliana nazo mpaka kufikia ndoto zetu, Ni vitu vingi sana tunakumbana navyo katika hazarakati/safari zetu za Maisha mpaka kufikia ndoto tulizokuwa tunaishi nazo kwenye fikra zetu(akilini) na kutamani kuona zimefikia hatima zikiwa na mafanikio tele hususani katika nyanja za...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

    Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe . Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…