Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa.
Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa.
Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa
"Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
Changamoto tunazokabiliana nazo mpaka kufikia ndoto zetu, Ni vitu vingi sana tunakumbana navyo katika hazarakati/safari zetu za Maisha mpaka kufikia ndoto tulizokuwa tunaishi nazo kwenye fikra zetu(akilini) na kutamani kuona zimefikia hatima zikiwa na mafanikio tele hususani katika nyanja za...
Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe .
Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Kwenye hii ishu ya katiba mpya na haki ya mikutano ya kisiasa iliyoko kwa mujibu wa katiba, kwa vyovyote vile Samia atakavyoamua kudeal na Chadema, Chadema bado wataibuka washindi.
1. Ni kwa faida ya legacy yake mwenyewe kutogeuka dictator
Kama angekuwa mwanafunzi mzuri wa hayati Magufuli...
wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.
Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe...
UTANGULIZI
Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa vya wapenda soka mashabiki wa Simba na Yanga basi bila shaka ni sakata la kesi ya Benard Morrison na...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum.
Pia imetakiwa kulipa Sh850,000 ikiwa ni gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya...
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.
Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
Simulizi : ZAWADI YA USHINDI
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
SHANGWE na vigelegele ambavyo viliutoka umati huu mkubwa vilipaa hewani na kujaza anga lote. Sauti za kila aina zilitamkwa kwa kila rangi kiasi
kwamba zilitoa kelele, si kelele za shangwe tena...
Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya dogo yassin.
Duru zote zilikua zinaonyesha kua bwana Mtaleban angeenda kuutema ubingwa wake wa mkoa...
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba
32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba
45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
Badili mtazamo wako uanze kwa ushindi.
Kuna msemo wa kingereza unasema kuwa “if there is no enemy within outside enemy can do no harm” yaani kama hakuna adui ndani adui aliyeko nje hana madhara.
Unapanga kuanza kufanya nini, kwa njia gani, malengo yako ni nini na unapanga kuanza lini? Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.