ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Matola kupewa Timu kama 'Caretaker' hiki ndicho kinaenda kutokea ambacho hakikutokea Timu ilipohitaji Ushindi Muhimu

    1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC. 2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake hasa akina Wawa na Nyoni ambao ndiyo huwa wanampa mno Hela na kumletea (wakimpa) Mizawadi mingi kama...
  2. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

    Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote. Lengo lilikuwa ni...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Man United Yamaliza Mechi Za Old Trafford Kwa Ushindi Wa Mabao 3-0

    Licha ya kuwa na msimu mbaya, Manchester United imekamilisha mchezo wake wa mwisho kwenye Uwanja wa Old Trafford msimu huu wa 2021/22 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brentford. Katika mchezo huo wa Premier League mabao yamefungwa na Bruno Fernandes ambaye amefunga bao lake la 50 tangu atue...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakatwi mtu hapa: Jacqueline Mengi Mjane wa Dkt. Mengi apata Ushindi Rufaa ya Mirathi

    Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao ni Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza) na Benjamin Abrahamu Mengi (ndugu wa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi. Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi. Hii ni...
  9. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Arab teams katika ushindi wa leo

    Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu. I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
  10. Msambichaka Mkinga

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru kwa Ushindi wa Goli 3 kwa 0, ila tungeacha Upuuzi, Utoto na kutokuwa Makini tungeshinda hata Goli 8 za uhakika

    Japo ni mwana Simba SC lia lia ila kwanini nawapenda Yanga SC ( hasa Kiuchezaji ) ni kwamba Wachezaji wao hata kama wameshinda lakini muda Wote wa Mchezo wanakuwa very committed kutaka Ushindi zaidi na Wanahamasishana muda wote na Umakini ukiwa ni wa hali ya juu na kamwe hawabweteki tofauti na...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi na wanachama wa CCM hawashangilii ushindi mkubwa wanaoupata Serikali katika kesi ya Mbowe? Ukimya wao unamaanisha nini kwa Serikali?

    Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka, akakana, serikali ikawasilisha ushahidi, ikapata upinzani mara mbili nakupelekea mahakama itoe hukumu...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufurahia Ushindi dhidi ya Asec Mimosa FC na nilivyowaona Gendamarie FC na Berkane FC sasa tuambiane tu Ukweli tuisaidie Simba SC yetu

    1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye Mightier simkubali na simuamini pia Ally Salim? 2. Simba SC yetu upande wa Stamina hatuko 100% Fit...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Simba na ushindi tata

    Imekua kawaida sasa simba hii ya sasa yaani msimu huu kuwa na wakati mgumu kuliko pengine wakati wowote ndani ya miaka mitatu iliyopita. Simba sasa imekua inashindwa kutengeneza chance za kufunga. Mastraika hawafungi, timu imedorora. Uwezo wa Simba tuliouzoea haupo tena. Simba ya sasa ushindi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

    Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi. Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
  18. nyembela

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

    Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu. Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo...
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
Back
Top Bottom