Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
 
Hii simba hii Aya endeleeni kulea kidonda siku mkikutana na timu inafunguka na kucheza mpira mkipigwa wiki msije kutuletea habari zenu hapa za Mara Mo hafai.

Hi timu inahitaji reform kuanzia benchi la ufundi na wachezaji.
 
Kadi nyekundu zinatokana na ahadi ya boss wenu kwa hivi vitimu... wachezaji wao wanatumia nguvu sna ili tu watoe draw au washinde wapate kifuta jasho kutoka kwa tajili yenu matokeo yake wanaishia kuambulia kadi nyekundu... na wakiendelea watapat nyekundu nyingi sana msimu huu
 
Mtaendelea kupiga porojo ivyo ivyo mnashindwa kukiri timu yenu mbovu mkikung'utwa mnakuja na ngonjera nyingine apa, kila timu inaikamia simba kuanzia mechi za preseason mpaka sasa mnakamiwaga tu, mnategemea magoli ya aina ile kwakuwa timu aina mipango ya kutengeneza magoli ivyo ni mpaka timu nyingine apungue mchezaji mmoja ndo mpate nafasi ya kujimwambafai bila ivyo mambo magumu
 
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
Ww maku kwahiyo hizo kadi nyekundu zipo njee ya sheria 17.
 
Msimu wa juzi utopolo ilipigwa 4-1 bila kadi nyekundu.Kwa hiyo hizo ulizotaja ni ili ujifariji tu.
Unakimbilia reference ya msimu uliopita kwenye mechi ambayo yule mhindi wenu alikuwa ashacheza michezo yake aliyokuwa anafanya, mwambieni aicheze tena iyo michezo msimu huu akione cha moto
 
Ww maku kwahiyo hizo kadi nyekundu zipo njee ya sheria 17.
Sheria 17 za matakoni mwako labda, izo sheria zinafanya kazi kwenye mechi zenu tu sio, mechi 3 kadi 3, mnapokuja kugaragazwa mnaanza kuongea utumbo mara wachezaji wamesaliti mara vile kumbe watu wajinga wajinga dizaini yako wako wengi mpira mmeujulia ukubwani, we unafikili kila mechi utakuwa unabebwa na kadi, tengenezeni timu la sivyo mtaendelea kutunguliwa mpaka akili iwakae sawa maana ampendi kuambiwa ukweli
 
Unakimbilia reference ya msimu uliopita kwenye mechi ambayo yule mhindi wenu alikuwa ashacheza michezo yake aliyokuwa anafanya, mwambieni aicheze tena iyo michezo msimu huu akione cha moto
Kwa hiyo mechi uliyoitaja ya kigoma utopolo kupigwa kimoja ni msimu huu? Utopolo kupigwa nyingi na mnyama sio ajabu. Hukumbuki 5-0? Tushawazoea kwa visingizio.
 
Dodoma jiji ,yanga ,polisi walikua wanacheza mpra kutafuta sare au kushinda ,kabla ya kadi nyekundu izo timu walifunga ata goli la offside ,mbona kuna zinashinda uku wamepungua simba ikishinda mbovu ikifungwa mbovu mara inaonga marefa yani kama vile huu mpra wenu pekee yenu
 
Hii simba hii Aya endeleeni kulea kidonda siku mkikutana na timu inafunguka na kucheza mpira mkipigwa wiki msije kutuletea habari zenu hapa za Mara Mo hafai.

Hi timu inahitaji reform kuanzia benchi la ufundi na wachezaji.
Wenye akili watakuelewa
 
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
Na wale ambao huwa wanashinda wakiwa pungufu, lakini pia wewe hujawahi fungwa nao wakiwa pungufu?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Sheria 17 za matakoni mwako labda, izo sheria zinafanya kazi kwenye mechi zenu tu sio, mechi 3 kadi 3, mnapokuja kugaragazwa mnaanza kuongea utumbo mara wachezaji wamesaliti mara vile kumbe watu wajinga wajinga dizaini yako wako wengi mpira mmeujulia ukubwani, we unafikili kila mechi utakuwa unabebwa na kadi, tengenezeni timu la sivyo mtaendelea kutunguliwa mpaka akili iwakae sawa maana ampendi kuambiwa ukweli
Unamaanisha hata Jwaneng kule kwao kuna mtu alipigwa red card ndo tukashinda?
 
Back
Top Bottom