ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania CCM tuambiane ukweli: Ushindi wetu wa 2020 haunogi kabisa. Tunatokaje hapa?

    Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia. Kati ya mihimili ya dola iliyopo: Serikali, Bunge na Mahakama, Bunge ndiyo uwanja wa kisiasa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Weakness Point ndio Target ya Ushindi

    "WEAKNESS POINT NDIO TARGET YA MSHINDI" JE WAJUA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maisha ni vita, kuna kushindwa na kushinda; Mshindi na mshindwa. Kila ulifanyalo lifanye kwa tahadhari, kila hatua uipigayo ipige kwa umakini na tahadhari kubwa mno. Hakuna jambo zuri linalopatikana pasipo mapigano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bima Mkononi kupitia Tigo Pesa, ni ushindi mawazo tunayotoa humu yanawezekana na pia yanatekelezeka Serikali ikidhamiria

    Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu. Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  5. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kumvua Unaibu Waziri Francis Ndulane si nafasi yakumpa muovu shetani ushindi?

    Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki. Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi? Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo. Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda. Je, Hawana ushahidi? Wamekubali yaishe? Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa? Wanatishwa? Wanatafakari kilichotokea? Wanajiandaa kuunga Mkono...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ethiopia jimbo la Tigray uko wazi

    Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya Ethiopia chini ya waziri wake mkuu Abiy Ahmed. Tigray ni jimbo la kaskazini magharibi ya Ethiopia...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ni chama makini. Kinapofanya makosa hujitathimini na kujirekebisha na hii ndio sababu ya kupata ushindi mnono

    Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini...
  11. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya ushindi wa Azerbaijan

    Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano. Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya Rais İlham Aliyev kutoa hotuba kwa umma. Mji mkuu wa Baku ulienea shangwe na sherehe za ushindi...
  12. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania James Gayo: Hulka ya Ushindi wa 100%

    Kijana yatima kijijini aliyetamani kuoa alikuwa amekwama; hakuwa na uwezo wa mahari, achilia mbali pesa ya kuandaa harusi, na umri ndio ulikuwa unazidi kuyoyoma! Mawazo yalipomzidi akaamua kwenda kuomba ushauri kwa jirani yake - kikongwe aliyeishi peke yake baada ya kufiwa na familia yake yote...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  14. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue. 1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa...
  16. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Simba yaibuka na Ushindi

    Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0 ,ambapo magoli hayo yamefungwa na J.Bocco kwa mkwaju wa penati katika Dakika ya 42, na goli la pili...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

    Katika uchaguzi wa rais uliofanyika Cote d'Ivoire siku ya Jumamosi, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi kwa asilimia 94.27 ya kura zote zilizopigwa Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa uchaguzi...
  18. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
  19. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

    Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
Back
Top Bottom