Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona niko karibu na wanawake wengine, yaani hata nimisalimiwa na mwanamke afu akaongeza na maneno mawili...