naona ajiandae kisaikologia kozi zote hizo sio marketerble ki vile kwa ss kidogo ukilinganisha zenyw ipi bora naona kidogo hyo ya gender ila nafasi za kazi kweny afya ziko ila sio nying pia kweny mashirika ya kimataifa ina opportunity tatzo kule wanaitaji wabobozi sn kwahy ukiona kazi kweny hy mashirika kupata ni shida kama hauna connection pia
imani yangu hakuna lisilo wezekana kwan kila mtu ana bahati na ridhiki yake na haijue siku itakua asikate tamaa kama ndio anaitaji au ndio chaguo lake kweny hzo kozi
kubwa ni kuwa na master plan ambayo ina vision ndani yake na nn mfanye kipinda anasoma hadi ana maliza naona sio kila kitu kumuachia mungu wakati ametupa uwezo
wengi tumekua tunasoma kwa bidii tu na kusema mungu anatafungua ni makosa sn ukimaliza hauna pakuazia mwishowe unaua carrier yako unacho waza pesa tu na sio kujitegeneza unapotaka kufika.
elimu siku hizi haina value tena kwakua watu wanaosoma ni wengi alafu sio productive au creative kwahy jamii yetu imekua ikiwazomea sn watu wanaosoma nakuwaona wajinga zaidi ya wao walifeli wakabaki mtaani.