Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu.

2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya Damu ) tuachane nayo na sasa turudi katika ule Utamaduni wetu ambao Marehemu akina Mzee Bamchawi na Mnonji pamoja na Kassim Dewji ( KD ) wanaujua vyema.

3. Pesa ya Mambo ya Utaalam ( Utamaduni ) ikitolewa isigawanywe katika Matawi bali ipelekwe moja kwa moja kwa Wataalam kwani wengi wao wanalalamika kuwa huwa haziwafikii na baadhi ya Viongozi wa Matawi ya Simba SC huwa wanazila.

4. Tafadhali ile Kamati ya Watoto wa Mjini ( Wazee wa Umafia ) irudishwe upesi na napendekeza iongozwe na Kassim Dewji ( KD ) ambaye wana Simba SC wa ndani kabisa Balaa lake tunalijua kwani hata Umafia tunaomsifia nao Marehemu Zachariah Hans Poppe amejifunzia kwa Mwamba Kassim Dewji ( KD )

5. Upesi sana Simba SC rudisheni Kitambaa cha Unahodha Msaidizi kwa Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( alias Tshabalala ) kwani hata Kinyota yupo vizuri na huyo Shomary Kapombe si mzuri Kinyota na pia ni Muoga wa ama Kuvaa Bomu au Kuyaoga yale Maji Maalum.

6. Rejesheni Mtindo ( ambao sijui kwanini mmeuacha ) wa Kutozifanyia Utaalam Jezi zetu Mpya kwa Kila Msimu na nimeambiwa za Msimu huu mmekataa kabisa Kuzifanyia wakati Utamaduni wa Simba SC unajulikana na mnaujua.

7. Acheni Kumtenga Mzee Hassan Dalali ( na hili mmeonywa sana ) ila hamsikii na mnampuuza kwakuwa tu ni Mpingaji wa baadhi ya mambo ndani ya Klabu na kwamba alitaka Kugombea Uenyekiti na anakubalika mno na wana Simba SC japo siyo Tajiri kama nyie.

8. Haraka sana fanyeni ile DUA yenu MAALUM ( yenye UTAALAM mkubwa wa Kitabu ) ya Kuiombea Simba SC ( na hasa hasa ) wale Wasaliti na Wanafiki ndani ya Klabu ili yawakute kama yalivyomkuta Marehemu Ngumi Jiwe wa Simba SC na Wenzake Wanne au Marehemu Juma Salum ( aliyewahi kuwa Kiongozi wetu miaka ya nyuma ) kwa Kutumika Kwao na Maadui zetu ili Kutumaliza Kimchezo.

9. Achaneni na Utaalam ( Utamaduni ) uliopitwa na wakati wa Kuroga Mageti Makuu ya Uwanja wa Mkapa ( tena hasa ikikaribia Mechi na Yanga SC ) kwani ni wa Kishamba mno bali igeni ule wa Al Ahly wa Kuchanganya 4-4-2 na Kitabu Kingi ambao Adui ( kama Yanga SC ) hata waruke vipi hawawezi Kuukwepa.

10. Msione Aibu kuuiga Utaalam ( Utamaduni ) mpya wa Yanga SC kila wakikaribia Kucheza nasi ambapo huamua Kukusanya Wataalam ( Waganga ) wakubwa mbalimbali nchini na kuwaweka sehemu moja Hotelini wafanye Kazi na hata Siku ya Mechi huwakodia Basi Maalum na kwenda nao Uwanjani ambapo huendelea na Kazi yao Uwanjani kwa Umakini mkubwa mno.

11. Acheni kuanzia sasa Kushirikisha Waandishi wa Habari ambao mnadhani ni Watu wa Simba SC katika Kumwaga Dawa au kutupa Vitu pale Uwanjani ( hasa katika Mechi ya Yanga SC ) kwani Wengi wao ni Wasaliti na ndiyo hutoa Siri zetu za Mikakati kwa Maadui zetu Yanga SC ambao nao huzifanyia Kazi na Kutumaliza kiurahisi.

Mightier ninawapenda sana Simba SC.
 
Tanzania ina watu wa hovyo sana.Yaani lijitu lizima bado linaamini ULOZI una msaada katika soka.Wenzako wanasajili watu wa maana we unauza vijana wa maana unanunua Magari.Aya wamekusikia tusubiri mbebe KLABU BINGWA AFRIKA sasa.
 
Soka la ushirikina tumeachana nalo kwa sasa
 
We jamaa mnumanuma sana.

Point namba moja mpka kumi na moja unaongelea ulozi tu.

Simba ni ULOZI FC.
Na ndiyo Utamaduni mkubwa wa Simba SC na Yanga SC ila ukiwa Mgeni wa hivi Vilabu, siyo Mtoto wa Mjini na ni Mshamba tu uliyekuja Dar es Salaam ( Mjini ) na Lori la Ng'ombe wa Vijijini kama Wewe hivi kamwe hutoweza kujua hili.
 
Tanzania ina watu wa hovyo sana.Yaani lijitu lizima bado linaamini ULOZI una msaada katika soka.Wenzako wanasajili watu wa maana we unauza vijana wa maana unanunua Magari.Aya wamekusikia tusubiri mbebe KLABU BINGWA AFRIKA sasa.
Pumbavu... !!!
 
Na ndiyo Utamaduni mkubwa wa Simba SC na Yanga SC ila ukiwa Mgeni wa hivi Vilabu, siyo Mtoto wa Mjini na ni Mshamba tu uliyekuja Dar es Salaam ( Mjini ) na Lori la Ng'ombe wa Vijijini kama Wewe hivi kamwe hutoweza kujua hili.
Acha ujinga wewe antibayotiki.

Ulozi hauchezi mpira.

Sio zanzibar tu na morogoro nendeni hata mbinguni mkaroge.

Kama wachezaji wenu viwango vibovu hamuwezi kutoboa na hamtotoboa kamwe.

Hata muingie na matunguri uwanjani.
 
Back
Top Bottom