Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT.
Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...