ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ushauri na mawazo yenu yanahitajika

    wakuu habari zenu Msaada wenu unahitajika sana, Nina mdogo wangu amesoma famasi ana diploma yake na kutokana na ugumu wamaisha kupata ajira imekua shughuli pevu mdogo wangu huyu ameamua kujiajiri kwa kutafuta kaeneo kake afungue angalau duka la dawa muhimu. Mimi kama kaka yake nimekuballiana...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako kwa mwaka 2022.

    Usimuamini yeyote chini ya jua kila mtu mchukulie kwa tahadhari. Hata mama yako mzazi usimuamini. Utakuja nishukuru siku yakikukuta. Talking from experience.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

    Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo! I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake! ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa. iii) Hatima ya katiba mpya iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa...
  4. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Hii ni stori ya maisha yangu. Nini ushauri wako kwangu?

    Wanajamvi naomba nipate ushauri wenu kwa hili. Kwa sasa nipo kweye 35 kasoro sikni nimepata ujuzi katika fani kama tatu hivi hapa namanisha elimu ya diploma ya utawala biashara lengo kuu tangu awali niwe mjasiriamali lakini baada ya masomo nikajiegesha kwenye kampuni fulani ya ulinzi ili nipate...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Habarini wanajanvi, Moja kwa moja kwenye mada, Naomba mawazo yenu lakini yawe ya kujenga. Mimi ni mfanyakazi wa kuajiliwa kwa miaka mingi na natarajia kustaafu Mwenyezi Mungu akipenda miaka 5 ijayo, nina mke na watoto sita kati yao wanne wamemaliza chuo kikuu, Kwa miaka yote ya kufanya kazi...
  6. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure; ukitaka kuwajua wanadamu fanikiwa

    Mipango yako unaipanga wewe, elewa changamoto za wivu zipo kwenye maisha. Good morning JF. Mod I expect you to delete this nonsense if not I can live with the message. Happy new year JF
  7. beatboi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

    Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma 🙏) na hata msosi alishakula kwao. Kuhusu...
  8. Translator and 97 others

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

    Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Polepole hamia CHADEMA ili urejeshe heshima ya CHADEMA kama chama kinachopinga ufisadi

    Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna. Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa. Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama...
  12. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Ndugu Mchengerwa (Mbunge)waziri wa Utumishi

    Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha. Ni ukweli usiopingika umekua mtetezi wa Watumishi wa UMMA ukitamani kila mtumishi apate haki yake...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika wazo hili la kibiashara

    Wakuu habari? Nina hili wazo la kufungua youtube channel ambayo content yake itakuwa mambo ya ujenzi lakini kabla ya kulitekeleza, naomba nipate mawazo yenu yatakayonisaidia nisipate hasara. Timu yake itakuwa kama ifuatavyo:- Mimi mwenyewe (CEO/chairperson)- kazi yake ni kutoa miongozo...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika

    Habari ndugu Ujue wahenga husema mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua, mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma ya uongozi(PA) sijawahi kufanya field yeyote. Miezi 2 Sasa nahangaika kutafuta field katoka maofisi nimeshatuma takribani kampuni 10 na sijapata jibu lolote, nimeomba...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri masuala ya kijeshi yabaki kuwa siri

    Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

    Mh. Mbatia analiona jumba bovu: Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia; Azingatie bodi mbili tofauti kuendesha TPA na napendekeza "two tier board of directors"

    Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu. Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kutumia madawa vizuri na ushauri vimenisaidia kuishi maisha ya kawaida licha ya kuambukizwa HIV

    Na Ronald Mutie Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV. Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Back
Top Bottom