Wakuu habarini.
Mwendelezo:
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.
Nimesha-attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray...
Habari za mida hii ndg wanaJF.....
Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao.
Kivipi?
Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na ampendaye hawakukosea... Unakuta mama mzazi Wa binti anazunguka kumtafutia mwanaume binti ili...
Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004. Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana kazini kwani alijikuta amempa mimba Aisha binti mdogo tu wa darasa la saba akiwa na umri wa miaka 15...
Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo, 30.01.2022
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huteremka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo ni swali na pongezi. "Serikali inapokosolewa kwa constructive criticism, kama ushauri uliotolewa ni ushauri nzuri wenye maslahi kwa taifa, jee serikali...
Wakuu salamu,
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.
Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
Wakuu,Heshima kwenu nyote.
Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga.
Leo nilienda kutembelea sehemu wanapouza Tofali na Bei zimekaa kama ifuatavyo.
1.Ratio ya Tofali 40 -1200 kwa Tofali.
2.Ratio ya tofali...
Habari waungwana.
Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo.
Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology.
Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati.
Hivyo ana "C" nne na " D" sita.
Division three point 24.
1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu.
2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa.
3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
Habarini,
Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller.
Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
Kwenu wakuu I hope mko salama..
Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA.
SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!!
Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika...
Jamaa yangu ana kiasi Cha Tzs 18m. Anataka kufanya biashara ya online tv, nimemwambia aachane nayo, afanye biashara ya saloon ya like na kiume.
He ungekuwa wewe ungemshauri kitu gani
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Habari.
Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale.
Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata.
Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
KWAKO F.A MBOWE
S.L.P GEREZANI
Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako.
Nianzi kwa kusema ..
Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT
Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini...
Habari za muda huu Wana JF
Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa.
Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia...
Hello JF,
Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.