ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Wakuu habari, Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke. Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu. Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Riba na bima ya mkopo

    Serikali tangu awamu ya tano haipajandisha mshahara wala kulipa malimbikizo kwa watumishi hata hii ya sita japo inasema wamepandisha lakini ni ongezeko kidogo sana kiasi ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtumishi japo gharama zinabadilika kila uchao. Pamoja na hayo watumishi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
  4. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

    Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown. Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  7. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

    Mimi humu sitafuti mpenzi. Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa. Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya Mama Samia maana ni kati ya miradi tukiingia kichwa kichwa mchina atakuwa kapata upenyo wa kutukaba...
  10. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

    Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wadau na wasimamizi wa procurement & logistics

    Nimefanya utafiti nikagundua njia moja nzuri sana ya kupatia "value for money". Hatua zifuatazo zifuatwe: 1. Ichaguliwe taasisisi inayoaminika, mfano TAKUKURU 2. Izungukie taasisi zote na kupatia mahitaji Yao yote yanayohusika na manunuzi kwa mwaka mzima. 2. Itangaze Zabuni, na kufanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

    Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa 1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
  17. DustBin

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tafadhali tafadhali, mchakato wa ajira serikalini usirejeshwe kwenye Taasisi za Umma

    Nawasalimu kwa jina JMT Moja kwa moja najikita kwenye mada. Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani kinyume na Sekretarieti ya ajira PSRS inayosimamia suala hilo kwa sasa. Naishauri serikali isisikilize...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

    Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CCM jitengeni na kundi la Wasiojulikana

    Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu? Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umachinga haulipi; warudi vijijini kulima maisha yaendelee -- waache kusuguana na serikali

    Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri. Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara...
Back
Top Bottom