Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali.
Rais Dk. Hussein...
Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu.
Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima.
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea...
Rafiki yangu mpendwa
Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa.
Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa.
Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
Habari zenu Thinkers.
Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia.
Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual.
Karibuni sana.
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna mwanamke wa mtu hapa mtaani ananipenda sana anasema yupo tayari aachane mumewe ili aje kwangu na ukiangalia mumewe ni mwanajeshi na mimi nimemwambia tuachane kaa na mmeo ila hataki ameniganda na mimi naogopa mke wa mtu sumu...
Nifanyaje?
Habarini.
Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi.
Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A anademu wake na hapa ndio ipo story sasa, Demu huyohuyo anatoka na Mwanangu B halaf tena Demu...
Kwanza nichukue fursa hii kama watanzania wengine kukupongeza ndugu yetu Rayvany kwa kupiga show moja matata sana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika Budapest nchini Hungry.
Kwa ufupi ile show imekuweka kwenye position nzuri kuendelea kutoboa kimataifa, thamani yako imepanda sana sokoni...
Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini.
Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya mito na mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani.
Kutokana na shughuli za binadamu...
Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania wote.
Ikumbukwe kuwa vyama vya upinzani 1992 viliundwa na wanaccm wenye mawazo mbadala na hiyo...
Nina binti yangu ana miaka 12 na ningependa abobee kwenye 'animation' kwa sababu lengo langu ni kuanzisha kitu kinachoitwa 'Home of Animation'. Nimependa fani hiyo kutokana na fursa nilizoziona huko duniani.
Nilitaka nianze kwa kutafuta mwalimu, awe anakuja kumfundisha hizo 'program' hasa siku...
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania.
Kwa mfano SIMBA walifanya...
Heshima kwenu wakuu. Usipite bila kushauri.
Kuna issue ya kimahusiano inaleta utata kwenye familia.
Tuna kaka yetu mkubwa ameo mwaka wa Saba sasa na hawajabahatika na mkewe kupata mtoto. Familia imewahi wasidia sana kujua nini chanzo cha tatizo mara kadhaa na taarifa rasmi za kitabibu...
Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na mazoezi mengine ya viungo.
Pia huwa ninapenda sana kukimbia mara nyingi huwa natoka Kijitonyama mpaka...
Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap.
Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa nashindwa tu kusema. Nikamwambia ndio ivyo sina kitu akasema atazamini pambano ila leo lazima...
Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine.
Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu.
Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza.
Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
Nina ndugu yangu amekuwa diagnosed na High Blood Pressure na Diabetic.
Anakunywa red wine karibia kila siku chupa moja.
1. Je hii ni sawa
2. Au anatakiwa kuacha kabisa?
Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo
Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo
Group 1: Mikopo yote yenye riba...
Wakuu habari,
Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke.
Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu.
Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.