Ushauri unahitajika kwa huyu Ticha

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
2,287
2,843
Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004. Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana kazini kwani alijikuta amempa mimba Aisha binti mdogo tu wa darasa la saba akiwa na umri wa miaka 15 tu.

Kwa bahati nzuri Aisha alipata ujauzito akiwa yupo miezi miwili tu kabla ya kufanya mtihani wake wa mwisho hivyo alifanikisha kuhitimu elimu ya shule ya msingi mwaka huo wa 2006

Suala lilikuwa kubwa sana lilivyofika kwa wazazi wa binti japo ni kweli binti yao alikuwa amemaliza masomo ya shule ya msingi ila walihitaji aendelee zaidi na masomo ili kuja kuisaidia familia yao ambayo kiuhalisia ilikuwa duni sana.

Mlolongo wa kesi ulianza ngazi ya mtaa na kijiji pamoja na kutumia busara za pande zote mbili ambapo ticha alikuwa yupo tayari kulipa fidia yoyote ili kuepusha jambo hili kufika mbali, kwa busara za wazee jambo lile lilizimwa kwanza ili wasubiri matokeo ya binti ambayo hayakuwa miezi mingi mbele

Kwa upande wa aisha darasani hakuwa vizuri sana kwani miezi kadhaa tu baadae matokeo yalivyotoka alikosa nafasi ya kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza hivyo kupelekea kusalia nyumbani akiwa pia bado hajajifungua

Vikao vikarudi tena na safari hii wazazi wa aisha walikuja na wazo moja tu la kutaka ticha amuoe binti yao kwani amemharibia maisha na pia ni moja ya sababu zilizopelekea binti yao kufanya vibaya mtihani wa darasa la 7

Licha ya kwamba alishakuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwengne ambaye kwa wakati huo alikuwa na mtoto wake apataye miaka miwili ticha aliridhia suala hilo kwani ndio ilikuwa njia pekee ya kumuweka salama maana wazazi wa binti walitishia kwenda mbali zaidi kama angekataa kumuoa binti yao huyo

Ticha na Aisha wameishi pamoja tena kwenye kota za shule hiyo hiyo ya msingi kwa takribani miaka 15 sasa na wakibahatika kupata watoto wengne wawili wote wakiwa wa kike

Miaka ya hivi karibuni Aisha ambaye ni mke wa ticha amekuwa malaya wa kuotea mbali akifikia hatua ya kufanya mambo yake hadi kulala nje, na kibaya zaidi wazazi wa binti wapo pamoja na mtoto wao kwa kila jambo analolifanya huku wakimshutumu ticha kwa kukatisha ndoto za mtoto wao

Kuna wakati huyu mwanamke alisafiri wiki nzima kwenda zanzibar huku wazazi wakimkingia kifua kuwa ni safari ya kawaida na wao wanaitambua lakini ukweli ni kwamba kuna mwanaume ambaye anamchukua aisha kuzunguka nae maeneo tofauti na hata kwao wanajua kwani anatoa vijisenti vya kuwakimu ukizingatia hali yao duni

Baada ya hiyo safari ticha alifikiria kumuacha huyu mwanamke kwani alikuwa malaya sana ticha akiwa ameshagongewa na karibia nusu ya walimu wote vijana shuleni hapo, wazazi wa binti walitia mkwara kwamba mwanetu huwezi kumuacha kirahisi vingnevyo tutafufua kesi ya kumpa mimba binti yetu

Kila akijaribu kumtimua huyu mwanamke nyumbani kwani sasa ana ujauzito licha ya ticha kusema hajashiriki nae tendo kwa miezi 7, na huyu mwanamke anasema siwezi ondoka hapa kirahisi lazima kieleweke na tutakufikisha mbali ukitaka au la sivyo utulipe fidia

Huyu ndugu yangu ni muoga sana wa kesi na anahofia sana kudhalilishwa kama mtumishi analazimika kuishi na huyu mwanamke huku akinyanyasika sana kwani amekuwa ni mwanamke wa kuingia na kutoka siku nzima

Je kuna namna nzuri anaweza kufanya kuachana na huyu Aisha bila kumuathiri kazini na maisha yake kiujumla?

NB:Aisha ni mwanamke mzuri sana kisura na umbo pamoja na rangi yake ya chungwa aliyobarikiwa
 
Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004
Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana kazini kwani alijikuta amempa mimba Aisha binti mdogo tu wa darasa la saba akiwa na umri wa miaka 15 tu.
Ticha alimfungulia milango ya dunia sio?basi sawa
 
NB:Aisha ni mwanamke mzuri sana kisura na umbo pamoja na rangi yake ya chungwa aliyobarikiwa

Inaonekana uyo ticha wako anazuzuka Sana na huo uzur was uyo mwanamke kias kwamba mwanamke kajua na kuutumia Kama silaha ya kunyanyasia.

Anachotakiwa kufanya uyo ticha wako Ni kumuonyesha kua uzuri wake sio lolote wala chochote linapokuja suala zima la mustakabali wa familia yake.

Anapaswa ampige matukio ya ajabu ajione taka taka , asie na uzur wowote Wala thaman yoyote MPAKA AKILI IKAE MAHALA PAKE
 
Yani hapo asiwe mjanja maana jela itamuita kama ningelikua mimi ningeishi nae kiunafki na ningekua nakula mzigo nje ili tu niendelee kuliona jua
Yaani pumbu hua zinatuponza sana
 
we unakwama wapi na mchepuko wako?
mi Mchepuko wangu tunanyukana vilivyo,
Hakuna kupeana pumzi
YaanAkiweka ya uso, naweka ya tumbo.

Mbona tayar nishamtafutia dawa yake,
mdogo wake yupo, akichomoa betri TU, mi namlipua
SOMETIMES MWANAUME UNAPASWA KUA MAFIA,ili maisha mengine yaendelee
 
Back
Top Bottom