ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ushauri kwa waajiri

    Kama mna ndugu zenu na mnapanga kuwapa nafasi mnazotangaza kindugundugu basi acheni kusumbua watoto wa maskini kwa kuwaalika kwenye saili zenu feki. Unakuta watoto wa maskini wanakopa hadi nauli kwaajiri ya kuhudhuria saili zenu kumbe ni formality tu na mshaandaa watu wenu wa kuwapa hizo...
  2. Niliyomsimulia yote kuhusu yule mwanamke kaenda kuyafikisha kama yalivyo, ushauri tafadhari

    Wakuu habari, Roho inaniuma, moja kwa moja kwenye point. Kuna rafiki zangu wawili wa kiume tulikuwa tunapiga nao story wao wanafanya kazi kwenye taasisi flani yenye mabinti warembo wengi, niliwaambia wanipe namba yamrembo mmoja nijaribu bahati yangu, wakanipatia, Kutokana na urafiki wetu...
  3. Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Habari za weekend..... Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli. Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
  4. Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk. Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
  5. Ushauri unahitajika nifanye kipi kati ya haya?

    Wakuu habari! Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Humu kuna watu wana experience walishafanya au bado wanafanya itasaidia kwa namna moja au nyingine. Niko na idea mbili tatu sijajua nifanye hipi naomba mnipe msaada wa mawazo kutokana na experience yenu. Niko na mtaji kidogo wazo langu la...
  6. USHAURI: Usithubutu kujamba kama unaumwa tumbo la kuendesha

    Yamenikuta tena ukweni kwa Wachaga ndio maana nawatahadharisha
  7. Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

    Kama kuna member yoyote anaweza kunipa ushauri kuhusu hiki chuo cha ufundi ndege kipo zimbabwe naomba please nataka kuapply pale nimpeleke mwanangu
  8. Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Wakuu nawasalimu kwa Jina la JMT. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimekuja humu ndani kupata ushauri wa Biashara ya Malori haya ya kubeba mizigo iwe ya Local ama Transit. Kutokana na Connection nilizonazo nadhani suala zima la kupata Mizigo ya Kusafirisha halitokuwa la kuumiza kichwa...
  9. Nisaidieni Ushauri: Biashara ya SPANNERS Kariakoo

    Wakuu, nina uzoefu na haya maspanners, fix, ring, sockets, power handles etc. Nafikiria kufanya biashara ya kuuza haya maspanners aina zote jumla na reja reja pale Kariakoo. Je, hii idea iko sahihi au itakuwa slow kwa kuwa nime-specialize sana kudeal na spanners tu? Labda ni kuongezee nini...
  10. K

    Ziara ya Rais Samia: Namshauri Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita kufanya haya...

    Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa. Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati...
  11. Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  12. Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

    Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.
  13. Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  14. Ushauri; Kuna dada nampenda sana lakini hayuko tayari kuwa na mimi

    Habari Wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa. Kazi ipo kwa...
  15. N

    Ushauri kwa R.E.O wa Lindi

    We kiongozi unaweza! Hilo ndo pekee lililopo la kusema kuhusu wewe!!! Naomba nijaribu kushauri yafuatayo; 1. Sherehe za utoaji wa zawadi mwaka huu (kama zipo) hazitokuwa za haki kama walimu walioingiza masoko yao katika kumi bora ya ufaulu (kidato cha nne) ya mkoa hawatozawadiwa......hata...
  16. Naomba ushauri juu ya wazo la kufungua mgahawa wa vyakula vya asili

    Waungwana naombeni michago yenu nipo kwenye njia sahihi au watu hawataki hivi vyakula tena maana nina mpango wa kufungua mgahawa mdogo na kupika vyakula vya asili peke ake Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
  17. F

    Naomba ushauri juu ya kununua gari

    Wakuu naomba ushauri wenu. Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017. Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja. Chaguo langu la...
  18. Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  19. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  20. Ushauri Barabara ya Morogoro - Kilosa Kuikwepa Mikumi National Park

    Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani. Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…