Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,106
45,803
Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
IMG_20221008_132332_449.jpg
 
Owaishe mfanye arudie upya ila ada mtamlipia. Ungesema yuko chuo gani, kuna vyuo ukidisco unafanyiwa mpango wa kuendelea na HESLB mpaka mkataba wako nao unaisha. Kama programu ni ya miaka mitatu na kadisco yuko wa kwanza, anawadai miaka miwili HESLB na anaanza kozi nyingine inayoendana na hiyo ila analipiwa mkopo miaka miwili iliyobaki na HESLB hawajui kama alidisco. Huo mmoja mnapambana.

Kama alikuwa second year na akapata GPA ya kuuzia nyanya hivyo bora aache chuo. First year kunakuwa na mzaha ila second year anajua uhalisia
 
Mpe nafasi nyingine, ujue huku sekondari kuna wengine wanafaulu kwasababu wamezoea kusimamiwa na wamebanwa uhuru.

Wakifika chuoni wanakuwa washamba wa uhuru na hawasimamiwi kama sekondari, huu mda sio ajabu kukuta hata aliefaulu sekondari anafeli, Kuna baadhi ya watu lazima waipitie hii stage ili waondoe ushamba wa uhuru.

nilikuwa na dada yangu nae alikuwa hivyo, alipofika chuoni alikuwa mshamba wa uhuru akaharibu.

Mzee alishakataa kumsomesha ila akapewa ushauri akaufata na ukazaa matunda.

Baada ya kudisco, sista alikaa nyumbani mwaka mzima ajitafakari, hapo nyumbani aliishi maisha ya kupitishwa msoto kwa maksudi, mzee alikuwa hampi hela, kila siku kuwahi kuamka alfajiri kufanya usafi na kuandaa chai, hakuna kutoka toka ovyo. ulikuwa msoto mkali sana kwa sista.

sista alijutia sana makosa, mwaka ujao kwenye maombi ya vyuo ndio mzee akamruhusu kwenda chuo, aliporudi chuoni akapewa onyo hio ni nafasi ya mwisho, chuoni aliweza kubalance maisha ya uhuru na kilichompeleka na alifaulu vizuri tu na Sasa ana ajira.
 
Owaishe mfanye arudie upya ila ada mtamlipia. Ungesema yuko chuo gani, kuna vyuo ukidisco unafanyiwa mpango wa kuendelea na HESLB mpaka mkataba wako nao unaisha. Kama programu ni ya miaka mitatu na kadisco yuko wa kwanza, anawadai miaka miwili HESLB na anaanza kozi nyingine inayoendana na hiyo ila analipiwa mkopo miaka miwili iliyobaki na HESLB hawajui kama alidisco. Huo mmoja mnapambana.

Kama alikuwa second year na akapata GPA ya kuuzia nyanya hivyo bora aache chuo. First year kunakuwa na mzaha ila second year anajua uhalisia
DUCE na alikuwa anapiga BSED
KE
 
Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
View attachment 2380674
Poleni sana, shida ya vijana wengi wanajisahau wakishafika chuo wawe wa kike au wa kiume na hasa kale kamchezo ka kuoana.Yeye anasemaje baada ya matokeo hayo? Je kaonewa? Kama kaonewa zipo taratibu za kukata rufaa ....
 
Hapo kwenya masomo 12 amepata sup masomo 6. Kipindi tupo chuo ilikua kama umepata disco unaangalua umefeli masomo mangapi kama ni 7 kati ya 12 unachangua masoma matatu ambayo waalimu sio complicated unawafata unawaambia ukweli nime disco alafu unawaomba uende uka appeal masomo yao wakati wa kurudia kusahisha mitihani akupe tu Marks za kupass labda C baada ya hapo matokeo ya appeal yakitoka ukiwa ume pass hayo masomo uliyo appeal unatoka kwenye disco mpaka sup za kawaida. Unafanya sup unachomoa unaendelea mwaka mwingine
 
Back
Top Bottom