Wakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake.
Gari anayotaka ni ya kutembelea.
Shukrani sana.
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Watu wa Mungu nadhani wote mko salama paleni na majukumu yenu ya kila siku, kwa ambao mnachangamoto poleni na Mungu yu pamoja nanyi:
Twende kwenye mada husika Jana nilileta hapa jukwaani changamoto ninayoipitia kwenye ndoa yangu, nashukuru kwa michango yenu imesaidia kunijenga na sasa nimeamua...
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
Mkipata kazi kwanza mjue mlichojifunza Chuoni ni kama 60% hivyo mnahitaji kujifunza kwa haraka majukumu mtakayo pangiwa bila dharau kwa mtakao wakuta. Degree inakusaidia kupata kazi ila haikusaidii kuendelea kubakia kazini.
Kitakachokufanya usalie kazini na kuendelea kula mema ya nchi ni kama...
Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee.
Ila...
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?
Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona...
Na Gianna Amani
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa.
Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi.
Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili.
Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata!
Cha msingi lengo ni huduma bora!
Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona!
Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
Nimesikia una mpango wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na upungufu wa maji
Ushauri wangu kwako, Achana na hiyo mipango ya kizamani na ya kimaskini ambayo haiendani na wakati uliopo. Kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa, napenda kukuhakikishia kuwa huo mradi...
Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini:
Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.
Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?
Mi nasema mtafuteni mshana...
Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi. Hata hivyo Bado zipo fursa ambazo hamzitumii ipasavyo hasa vyombo habari TV, Redio, Blogs, Pamoja...
Habari wadau wa jukwaa hili pendwa,
Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa...
Nilienda Bagamoyo Kidomole kuangalia shamba langu. Wakati nasubiri wafanyakazi wangu waje njia panda nikaona gari lina park na wachina wawili wakashuka wakaenda kwenye kibanda na kurudi na mfuko.
Nilishangaa kuona wachina wako huko. Nilivyo uliza watu wa pale wakasema ni wamiliki wa machine za...
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Mimi ni baba ninafamilia ya watoto 3, lakini mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine.
Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmoja 'black beauty' nyuma kafungasha (Nacy, lakini siyo jina halisi). Sasa kuna mdada mmoja ni rafiki yangu ninafahamiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.