Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,405
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
 
Ukitaka kuishi unavyotaka acha siasa, hakuna mtu atakuingilia kuishi vile unavyotaka.

Wengine hawa wamechaguwa kuishi wanavyotaka umeona tunawaingilia?
boss sio lazima mtu aache siasa nae binadam kama wewe kajichagulia maisha yake wache aishi anavyotaka cha umuhim acvunje sheria na tamaduni za mfumo wa jamii yetu.

unaposema aache siasa hapo sasa teyal ushampangia maisha.
 
Back
Top Bottom