Naombeni ushauri, Mke wangu ana mimba nyingine

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Habari muda huu Wana JF poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu.

Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu, leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile, baada ya vipimo imegundulika ana mimba ya mwezi mmoja hiyo taarifa imenishtua Sana Ila nilivyomuangalia mama N yupo kawaida nahisi alishajigundua Hali yake tokea muda.

Njiani wakati tunarudi hakuna mtu aliomuongelesha mwezake, kitu kinachonipa mawazo tuna mtoto mdogo ana mwaka na miezi 4 na mke wangu mimba ikifika miezi 5 ni kuumwa kila siku je mtoto atapata malezi Bora au nimpeleke kwa Bibi yake.

Niliona dalili kitu kidogo akikosea mtoto anamkaripia wakati hakuwa hivo nyuma.

Naombeni Ushauri Wana JamiiForums.
 
Habari muda huu Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu.

Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu,leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile.baada ya vipimo imegundulika ana mimba ya mwezi mmoja hiyo taarifa imenishtua Sana Ila nilivyomuangalia mama N yupo kawaida nahisi alishajigundua Hali yake tokea muda.

Njiani wakati tunarudi hakuna mtu aliomuongelesha mwezake.
kitu kinacho Nipa mawazo tuna mtoto mdogo ana mwaka na miezi 4 na mke wangu mimba ikifika miezi 5 ni kuumwa kila siku je mtoto atapata malezi Bora au nimpeleke kwa Bibi yake.

Niliona dalili kitu kidogo akikosea mtoto anamkaripia wakati hakuwa hivo nyuma.

naombeni Ushauri Wana Jamii forum.
Jifunze kutumia njia za uzazi wa mpango .
Either kwa kuzingatia tarehe zake za hatari .

Au pata sindano za uzazi wa mpango au vidonge

Kuhusu mwanao kwa umri huo sio shida kwa mkeo kubeba mimba ila nachoweza kukushauri ikiwa bibi wa mwanao ni mwelewa na ni mlezi aliye bora mpeleke mwanao ili ubaki na mkeo .

Ikiwa bibi yake sio mzuri kwenye malezi basi jitahidi kuwa karibu ili uonyeshe upendo kwa mwanao maana mama yake atakuwa katika transition period ili mtoto asije dhurika .

Asante.
 
Habari muda huu Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu.

Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu,leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile.baada ya vipimo imegundulika ana mimba ya mwezi mmoja hiyo taarifa imenishtua Sana Ila nilivyomuangalia mama N yupo kawaida nahisi alishajigundua Hali yake tokea muda.

Njiani wakati tunarudi hakuna mtu aliomuongelesha mwezake.
kitu kinacho Nipa mawazo tuna mtoto mdogo ana mwaka na miezi 4 na mke wangu mimba ikifika miezi 5 ni kuumwa kila siku je mtoto atapata malezi Bora au nimpeleke kwa Bibi yake.

Niliona dalili kitu kidogo akikosea mtoto anamkaripia wakati hakuwa hivo nyuma.

naombeni Ushauri Wana Jamii forum.
Bado wewe, kaa kwa kutulia ujazwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom