ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania

    Zama hizi ukitaka kufa kwa Msongo wa Mawazo basi hakikisha hauna fani yoyote. Fani ni muhimu, kama hauna ujuzi unategemea cheti chako cha chuo kikuu basi kazi unayo. Hakikisha unajitofautisha, usiwasubiri wanasiasa waje wakupangie maisha.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

    Kati ya gari hizi mbili ambazo naona kwasasa zinanunuliwa sana kwenye miji mikubwa zikiwa na namba E, ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya kawaida ya mjini. Zote ni 2.0 AT petrol za mwaka 2013/14 na zote ni all wheel drive/4WD. Wenye uzoefu na hizi gari msaada. Budget yake ni kuanzia 43m mpaka 50m...
  3. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kwenye hili

    Signed Out
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi. Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TFF

    Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff. maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao katika mashindano mbalimbali. Leo natoa ushauri tu wa nini kifanyike katika timu yetu ya taifa...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ushauri niliowahi kuutoa hapa JF leo umetamkwa hadharani na Rais Rais

    Leo sitaandika sana. Soma huo uzi niliowahi kuandika humu kisha soma alichosema Mama leo. Nimeamini mama yumo humu na anatusoma. Mimi kama mtanzania mzalendo nitaendelea kutoa mawazo ya kujenga nchi hadi pale nitakapotwaliwa na muumba...
  8. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Anahitaji Ushauri

    NIMEICOPY SEHEMU. NJIA PANDA!! Dada Shangwe shikamoo. Naomba unipelekee ITY ,Yamenifika... Mimi nilisoma Advance msalato girls, sasa kipindi hicho nilikuwa na rafiki yangu ana Asili ya Ethiopia kwao ni Arusha. Amelelewa na baba tu wazaz wake waliachana kwa mujibu wake, na Mama yake...
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

    Wapendwa nawasalimu. Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa ya maisha yangu.... Nina ex wangu niliyeanza mishe za mapenzi nae 2017 kwa jina ni J, mwanaume...
  10. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nisimame na Baba Mzazi au wa kambo?

    Habari Wakuu, nakuja mbele yenu kuomba ushauri, japo nimepata shauri mbalimbali za hapa na pale kwa watu wa karibu na wa mbali niliowahi kukutana nao. Nianze na historia yangu kwa ufupi. Nilizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Mama alizalia nyumbani kwao wakati bado ni mwanafunzi, haikua rahisi...
  11. Teja Junior

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

    Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano. Ahsante
  12. Egibert emily

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi. Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria). Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama. Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
  13. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  15. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

    Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi? Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anzisheni utaratibu wa wahitimu wa elimu za juu kufundisha kwa mwaka mmoja

    Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka. Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Mimi sio mgeni hapa JF, Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake. Wengi wenu apa Jf...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
Back
Top Bottom