Nina rafiki yangu wa karibu Sana tulisoma nae hiyo miaka ya nyuma shule,ni mtu tumeshibana sana ila mimi nilipoenda kusoma ndipo tukawa tupo mikoa tofauti tofauti
Sasa hivi karibuni nikaona mwana amenitafuta akaniambia ana changamoto kubwa sana, nilivyojaribu kumdodosa akasema ana shida ya nguvu za kiume ,ishu ambayo imepelekea mke wake kuondoka
Kwenye gemu dakika chache tuu anamwaga na hawezi kurudia tena, mke amejaribu kumvumilia amerudi kwao
Anahitaji msaada wa tiba Ili awe sawa.