Habari,
Naitwa Ikra nina miaka 24, mkazi wa Dar Temeke, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 4 mnamo mwaka 2016 na nilipata Division 4 ya (29), japokuwa darasani nilikuwa niko vizuri sana hata matokeo sikuyatarajia kiasi hicho, maana yalini-disappoint kiukweli, nikapanga ni risiti ila mipango ya jeshi ikaingilia kati nikajikuta ku-risiti naachana nako.
Nikakaa mwaka mzma home bila ishu na ishu ya jeshi ikafeli, basi nokapambana nitakapata bahati ya kufanya kazi ya u sales ktk kampuni fulani ambaye mpaka hivi sasa nafanya kazi hapo, natamani nijiendeleze lkn sijui naanzia wapi isitoshe mara nyingi huwa napenda kutembelea blog zinazotoa ajira na nakutana na kampuni zinazohitaji watu wa sales na ofcourse nina experience ya takriban miaka 4 sasa kwenye sales lakini kinachonifelisha ni elimu, kampuni nyingi zinahtaji elimu ambayo mimi sina
Naombeni ushauri pengine nianzie wapi,mbali na hivyo pia natamani sana kujiendleza juu zaidi ya hapa
Naombeni msaada wa mawazo yenu na namna ya kufanya
Nawaombeni sana, Samahanini kama nitakuwa nimewakwaza kwa namna moja ama nyngne.
Ahsante!