ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Samia akae karibu na TEC ataishi kwa Amani.

    GT Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi. Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mzee wangu Mangungu Zanzibar njoo na mabaunsa hawa watu hawafai

    Ushauri wangu ni huuπŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
  3. JamiiForums Tanzania Kifuani nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu

    Habari zenu Vipendhy nina shida kdg hapa kifuani upande wa kushoto kuna baadhi ya muda nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu wakanipa dawa ila nikawaomba wanipime moyo mana nilikuwa nina wasi wasi na icho kitu nikapimwa ECG ndio kipimo kilichopo ikaonekana ni normal...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi pocket router za Voda zikoje? Naombeni ushauri kabla sijajichanganya

    Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri ndoa ya kislamu?

    Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri Chakula 500,000/ Mavazi 500,000/ Usafiri wa kuoa 500,000/ Tent 100,000/ Madufu Madrasa 100,000/ Mapambo 100,000/ Generator&Mziki 100,000/ Dua ya la Kharusi 100,000/ Mpiga Picha...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kitaalam tafadhali-side by side vs top freezer refrigerator

    Kwa wazoefu na wataalamu wa Friji. Je, ipi inafaa baina ya side by side. Yaani inakuwa na milango 2 iliyo sambamba. Upande mmoja unakuwa Friza na upande wa mwingine unakuwa Friji ya kawaida au ile iliyo zoeleka ya juu friza a chini Friji
  7. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika hapa

    Hey Wajaaaaa!!! Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote. Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana. Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena...
  10. JamiiForums Tanzania Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kuanzisha biashara ya gum boots (rain boots) jumla na reja reja

    Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

    Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao. Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

    Salama wakuu. Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba. Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka. Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua. Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TRA: Makampuni Yenye Madeni Makubwa ya Kodi Yasiyofanya Kazi – Je, Kuna Njia Bora ya Kuyarejesha Kwenye Mfumo Rasmi?

    Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa. Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…