ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania TRC sikilizeni ushauri wa huyu Mkenya Ken Macharia kuhusu ucheleweshaji kukata tiketi na ukaguzi

    Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja. Pili...
  2. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

    Nangalia maisha ya baamedi hayana tofauti na mchezaji wa mpira. Natumia mfano wa mchezaji wa mpira kwa sababu ana maisha mafupi kwenye kazi kuliko msanii, au mwanamitindo au hata muigizaji. Kama ilivyo hali ya ajira kila mtu anaijua, tufanye baada ya kukosa ajira ukaamua kujilipua kuuza baa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kijana akataa ushauri wa Baba yake kuhusu kuoa Dini tofauti

  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kushare mtaji wa biashara na mpenzi wako?

    Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapendwa na Mke wa mtu

  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TRC, Chukueni Ushauri Huu na Wenye Mabasi someni hapa

    Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana. Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abilia, hadi mlipoamua kupachika hii banner ni mmejiridhisha sawasawa. Mmetoa muda wa kutoka Dar...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Milioni 200 inatosha nyumba na magari mawili?

    Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi. Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu miradi yake. Ametenga milioni 200 kwa ajili ya nyumba na magari mawili. Anataka magari mawili kwa...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

    Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
  13. Analog

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwashauri vijana wa kitanzania, ushauri gani ungewapa ushauri kwa manufaa ya jamii inayowazunguka na Taifa pia?

    Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni. Ni upi ushauri wako ungeliwapa endapo ungepewa nafasi ya kuzungumza nao?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Honda Crossroad

    Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi! Nimeomba na kufunga lakini wapi
  17. 2v1

    JamiiForums Tanzania Mawazo, ushauri, maoni yenu wadau

    Mathayo 24:9-14 9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda...
  18. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  19. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Wazee naombeni ushauri

    Wazee mm kuna demu namkula ila ni mke wa mtuu lakini mumewe ni mzee wa 72 years sasa huyuu mazi ameniganda sanaa nifanyajee wakuuu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    Salaam, Shalom, Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana. Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa...
Back
Top Bottom