ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu deed poll

    Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza Lakn...
  2. Cathylin 2002

    JamiiForums Tanzania Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amepangiwa kusoma Mining Engeneering lakin yeye anataka kusoma Computer Engeneering, nifanyaje?

    Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoomba ushauri wa biashara wakipata mtaji huwa wanafeli kwasababu hawana ujuzi wala connection.

    Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mchungaji anaomba ushauri

  10. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Usugu wa vimelea dhidi ya dawa haya ndiyo maoni na ushauri wangu

    Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
  11. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Ushauri mzuri kwa wadogo zangu.

    MDOGO WANGU! Dada yako Eva Mrema, nimewiwa kukuambukiza maarifa. Haya ni mambo matano ambayo nakuomba sana uyawekee mazingatio katika umri wa ujana kuelekea utu uzima wako. 1. ZINGATIA KUJIKUZA. Katika umri wa ujana mbichi binti wa kisasa unawaza usome, uhitimu; upate kazi, upate mwanaume...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

    Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema. Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
  14. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Wapiga picha na walio wai kupiga picha kujeni hapa

    Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

    Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo. Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  17. Hofajr16

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri machozi ya shemeji yamenikosesha amani

    Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache. Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
Back
Top Bottom