Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache.
Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye uwanja Mkapa, Kirumba au Dodoma viwanja ambavyo vina uwezo wa kuchukua watazamaji wengi na pia umuhimu wa fainali hiyo.
Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye uwanja Mkapa, Kirumba au Dodoma viwanja ambavyo vina uwezo wa kuchukua watazamaji wengi na pia umuhimu wa fainali hiyo.