ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. love life live life

    JamiiForums Tanzania Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

    Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania BOT, ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000)

    BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000). Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi mnanielewa!. by the way hakikisheni uchumi unakuwa stable sio kuileta hiyo noti ndo nathamani ya...
  3. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Vijana unatishia usalama wa maamuzi yako

    Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara waliopitia mengi na wenye matatizo mengi ndio wenye ushauri mzuri. Lakini vile vile nimekumbuka ile kauli ya...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Najuta naombeni ushauri wenu, msinihukumu hali ni mbaya

    Habari za jumapili Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu. Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl wetu alikua amenizidi kidogo tuu umri sasa tukawa tunafanya michezo ya kikubwa alikua anakuja anavua...
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukianza safari usiombe ushauri kwa waliobaki nyumbani

    📖Mhadhara (58)✍️ Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli. • Unadhani ni kwanini? Shida ilianza hapa;- Wewe kabla hujaanza safari yako tayari ushawaambia ndugu, jamaa na marafiki...
  6. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nashauri coach Gamondi atupishe

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa, Napendekeza Gamondi apishe fasta Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda 1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja. Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass, Ukimbana...
  8. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Gamondi ashauriwe aache kiburi na chuki binafsi kwa Wachezaji!

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia! Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita! Binafsi...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CLOUDS FM, Ushauri huu msiuache!

    Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club. Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole. Sasa Sudi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...
  12. morechil

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Sema kigumu unachopitia upate ushauri

    Habari wanajukwaa Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako. Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha show ya live stand-up comedy, naomba ushauri wenu

    Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili. Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda...
  17. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Mikopo Consultant: Karibu Kwa Huduma ya Ushauri wa Mikopo

    Nina jumla ya uzoefu wa miaka 7 (saba) kwenye masuala ya kibenki na utoaji na upembuzi wa mikopo. KWa uzoefu wangu huo, ninaelewa mbinu na namna bora ya kufanya ili usisumbuke kupata mikopo kwenye taasisi za fedha ikiwa wewe ni mtu binafsi au kampuni. Huduma zetu 1) Tutakusaidia kupata mkopo...
  19. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

    Habari zenu wanaJamii.. Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002. Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu hii fursa

    Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika. Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana na kampuni mpya inayofanya shughuli zinazofanana na zile za kampuni niliyotoka Ila utofauti ni...
Back
Top Bottom