ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
  3. Tanki

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  4. fredick

    JamiiForums Tanzania JAMANI NAOMBA USHAURI HAPA

    samahani wana jamii forums, ndugu yangu amehitimu veta katika fan ya ujenzi level 3, sasa anaomba ushauri Aendelee kutafuta deploma ama aende kusomea vocational assistance teacher. maoni yenu jamani 🙏
  5. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Maandamano na Mikakati Mipya

    MAXIMILIAN LUDOVICK "Kaka Lema, hebu BASI kubalini kufundwa kwa HISTORIA, NADHARIA na NYAKATI. Maandamano haya wakati huu kwa WATANZANIA hawa wasiojitambua, ni UPOTEVU BURE wa MUDA, na UDHARIRISHAJI wa TASWIRA NA NADHARIA ADHIMU ya MAANDAMANO ya AMANI.🥺🥺 Baada ya kile kilichojiri kwenye...
  6. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa. Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo. Kichwani, nilikuwa nawaza kufungua movie library mtaani ila nikasema ngoja nisikie mawazo ya wengine. Asanteni, nishaurini...
  7. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara nchini Comoro

    Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...
  8. Right Way In Light

    JamiiForums Tanzania Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

    Mabibi na Mabwana habari zenu. Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but in real sense they are not. Kwanza kabisa fahamu kuwa; Ni muhimu sana kuwa makini na mambo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mwanamke mvivu, Nawaza nimrudishe kwao

    Greetings of the day Ladies and Gentlemen, Nina changamoto moja naomba ushauri wenu wanajamvi nina mke wa ndoa ya miaka 5 lakini kwa miezi ya hivi karibuni amekua hapendi kupika chakula kwa ajili ya familia yaani mpaka alazimishwe na pia hataki kushiriki tendo la ndoa ukimuuliza hana majibu...
  10. Hommy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Wenu hizi Ndala Nizivae au Nimrudishie?

    Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala. Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi. Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kwa mtu yeyote ambayo ameshakutana na tatizo kama hili kwnye papai

    Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima zao la papai. Kuanzia kufulia miche mpaka kupanda shambani nilifanikiwa kwa asimilia nyingi tuu. Sasa...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi. Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini Majibu yao...
  15. Marashi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

    Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
  16. mambio

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Sitaki salamu na mtu! Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa. Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500 Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa...
  17. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

    Wakuu hope mmeamka salama. Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla...
  18. KIXI

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya uchaguzi wa Mchumba

    Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo zilitupelekea kuachana. Baada ya kuachana, mchumba wangu alielezea haja ya kuishi kwangu kwa muda...
  19. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

    Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba. Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa wazee kwa vijana kuna wakati unatatiza sana

    Tuko kwenye nyakati ambazo vijana wanawaona wazee ni washamba wasioelimika na wasiojua kitu.. Lakini pia tuko kwenye enzi ambazo kuna wazee waliogoma kuzeeka na wayafanyayo hawana tofauti na vijana.. Ila hili si la mada hii Muktadha wa mada hii ni kuangazia baadhi ya ushauri wa wazee kwa...
Back
Top Bottom