Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
Habari,
Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi?
Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week)
Hili swala limekuwa gumu kulikabili, maana sometime nakutana na mtu ananiita majina yang matatu, ila me simjui hata...
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?
Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically...
Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili.
Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno)
2-Hakikisha una mtoto
(kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto)
3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi
4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara
5-Stop kukumbizana na wanawake .
6-Jifunze kuvaa...
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa.
Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari.
Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Iko hivi huyu ni binti miaka 23, anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi
Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba...
Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida...
Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi
Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya
Unamuliza ela zake anapeleka wapi...
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu?
MWANAMKE WA KWANZA
Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.