ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  2. bhna

    Naomba msaada kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500,000-1000,000

    Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio hasa kipind cha mipira na movie kali Kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k...
  3. R

    Ushauri juu kati ya CPA au degree ya accounts nianze kipi?

    Wakuu habari za leo! Natumai mu wazima wa afya. Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
  4. Gol D Roger

    Ushauri kuhusu perfume(Ematscents)

    Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
  5. BANGO JEUPE

    Naomba Ushauri Matumizi Mashine Ya Kufulia

    Habarini Ndugu Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7 Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau Asante
  6. mwanateknolojia

    Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

    Salam WanaJF! Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree. Hata hivyo nina Interest na fani mbili;- 1.Masters of Science in Project Planning and...
  7. U

    Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
  8. kataza

    Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  9. Hammer11

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi. Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana. Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye...
  10. D

    yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  11. U

    Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  12. GENTAMYCINE

    Ushauri wa bure kwa 'Wanawatumbua' Wenzao hapa duniani

    Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku...
  13. stabilityman

    Kama unapojenga kuna chemi chemi basi pita hapa chukua ushauri usifanye kosa kabisa usije ukapata hasara

    Leo napenda kuwasiliana na wewe mchakalikaji popote Tz na nje ya nchi .Kama unajengaKujenga nyumba katika eneo lenye chemchemi ya maji au eneo lenye asili ya maji kunahitaji tahadhari maalum kutokana na hatari za kimaumbile na za kimuundo. Hapa kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia: 1...
  14. SweetyCandy

    Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
  15. Corluka Neven

    Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

    Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
  16. Mtu porii

    Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  17. GoldDhahabu

    Ushauri kwa Wasabato

    Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato. Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale. Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi...
  18. Majighu2015

    Ushauri kwa wanaume wenzangu

    Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki. Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao). Wanaume tunakufa mapema kutokana na stress za wake zetu, kelele nyingi, kuchapiwa n.k Ili tuishi maisha marefu tu-focus na...
  19. SweetyCandy

    Jamani asanteni kwa ushauri 🙏🙏

    Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes. Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto . ILa dstv ni...
Back
Top Bottom