ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  2. Break Time

    Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

    Habari wana bodi! Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi. Eneo: 40m x 20m = 800sqm Ninatanguliza shukrani.
  3. Vichekesho

    Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  4. Sirleh94

    Tusaidiane Ushauri Hapa

    Habari za wakati huu!! Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil (uhandisi wa ujenzi) mwaka huu kutoka chuo cha DIT. Miaka kadhaa nyuma nilipomaliza elimu ya diploma (2017) nilifanya kazi katika kampuni tofaufi tofauti za ujenzi. Kwa sasa mara baada ya kutoka chuo nimefikiria kufanya...
  5. A

    Ushauri

    Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri # Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
  6. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  7. ninjajr

    Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  8. Logikos

    Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  9. B

    Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  10. O

    Hakuna aliyewahi kuwa masikini kwa kutoa.

    Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako. Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa 2-3 asubuhi siku ya Jumapili Radio Free Africa. Kwenye hiki kipindi huwa wanahojiwa wahitaji...
  11. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  12. mirindimo

    USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  13. kante mp2025

    Anahitaji msaada wa kisaikolojia

    Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia. Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
  14. Mtu wa Majira na Nyakati

    Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  15. Natafuta Ajira

    Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  16. F

    Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  17. T

    Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
  18. D

    Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  19. Influenza

    PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  20. bending moment

    Ushauri nataka kuchukua subaru SJG 2014

    wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya) changamoto zake ni zpi ulaji wa mafuta na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
Back
Top Bottom