Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,818
10,050
Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi,
  • Honda crossroad,
  • Toyota Voltz
  • Mitsubish outlander au
  • Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi.
Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
 
Voltz ina shida gani kiongozi?
Mimi nina Voltz yenye 1ZZ-FE, 1800cc. So far ninaona ni gari nzuri. Ndani ina space kubwa tu na boot space pia ni kubwa. Spare parts zake zinapatikana. Inatumia lita 1 kwa kilometa 10-13 kutegemea na foleni. Mwaka huu April nilienda nayo Moro kutoka Dar na nilitumia mafuta ya 40,000. Body lake gumu. Nimeobamiza mara kadhaa hadi ninashuka kuangalia kama nimepasua bumber ila nakuta liko poa.

Mapungufu yake ambayo nimekutana nayo ni kuisha haraka kwa disk rotors na zinasumbua kwenye CV joint hasa ya kushoto. Niliwahi kwenda gereji kurekebisha hiyo CV joint, nikakutana na Voltz nyingine ina tatizo hilohilo.
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri Mkuu! Nimepata shule nzuri hapa ya Voltz. Inaonekana ni gari rafiki kwa tunaoanza kujitafuta kwenye usafiri
 
Pia tumia search box kutafuta nyuzi zinazohusu hayo magari. Mijadala ipo na na yamejadiliwa sana tu. Pitia nyuzi hizo kabla hujafanya maamuzi ya mwisho.

Voltz mtandaoni zinapatikana kwa mbindeee. Unaweza ingia sites 3-4 kama Beforward, SBT, Enhance Auto, TCV, Autocom, etc, na usiipate. Gari inaonekana leo, baada ya siku 3 huioni tena. Ishauzwa. Yangu niliiona Enhance Auto. Nilipoamua kuinunua, sikuikuta. Nikaanza kutafuta nyingine. Baada ya wiki 2 ikaonekana tena baada ya mteja aliyetaka kuinunua kutolipia kwa wakati.
 
Noted mkubwa
 
Back
Top Bottom