ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic

    Wachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi na kutokuwa na kutu. Warranty ya miaka 30. Tena wanatengenezea hapa nchini, hili jukwaa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

    Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Michongo Live

    Wakuu nisiwe mchoyo wa michongo mjini na vijijini. Leo nimewafungulia Uzi huu wa Michongo Live uzi huu nitatoa michongo mjini na vijijini ili wadau wapate kufaidika. Mchongo wa Leo Je, pengine umesoma mambo ya biashara au stationery, au pengine una uzoefu na mambo hayo? Basi fanya hivi. Fungua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali na Ajira

    Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi. Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii itasaidia watoke na walipwe stahiki zao mapema na kuzifurahia wakiwa na nguvu angali wako hai. Pia hii...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zingatia yafuatayo unapoomba ushauri

    Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako Ikiwezekana jaribu kutatua tatizo mwenyewe kwanza, kisha umweleze mtu unayemuomba ushauri mahali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa diaspora wenzangu na wale wanaokwenda kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Habari zenu wakuu, Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
  11. JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeng’oa jino siku nne zilizopita lakini bado halijapona

    Nimengoa jino,leo ni siku ya nne ,lakini bado sioni dalili ya kupona na dawa zimeisha
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nataka nimuache na kumsahau huyu Mwanamke

    Habar wadau, Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini...
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mgogoro wa familia kuhusu huduma na malezi ya watoto

    Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2. Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

    Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy. In...
  17. JamiiForums Tanzania Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

    Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani. Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
  19. JamiiForums Tanzania Chris Lukosi katoa ushauri mzuri jinsi TRA wanavyokosa mapato

    Yeereeeeeh! Chris Lukosi Mfanyabiashara Mtanzania maarufu Uingereza ametoa ushauri mzuri kwa TRA na kusikitika jinsi wanavyokosa mapato mengi kupitia bandarini. Anasema alitoka bandarini huko Uingereza akahesabu magari 250 kwenye meli yaliyokuwa yanaletwa bandari ya Dar na Mombasa. Kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…