ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  2. Hance Mtanashati

    Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  3. Vien

    Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  4. Troll JF

    Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

    Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa. Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
  5. Scared

    Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  6. dmketo

    Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  7. Desierto

    Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  8. The Burning Spear

    Ushauri wa bure kwa Samia akae karibu na TEC ataishi kwa Amani.

    GT Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi. Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu...
  9. Pdidy

    Ushauri kwa mzee wangu Mangungu Zanzibar njoo na mabaunsa hawa watu hawafai

    Ushauri wangu ni huu🤝🤝🤝🤝🤝🤝👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  10. Naxria abdalla

    Kifuani nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu

    Habari zenu Vipendhy nina shida kdg hapa kifuani upande wa kushoto kuna baadhi ya muda nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu wakanipa dawa ila nikawaomba wanipime moyo mana nilikuwa nina wasi wasi na icho kitu nikapimwa ECG ndio kipimo kilichopo ikaonekana ni normal...
  11. Godoro la kioo

    Hizi pocket router za Voda zikoje? Naombeni ushauri kabla sijajichanganya

    Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb...
  12. Bei rahisi Electronicks

    Ushauri ndoa ya kislamu?

    Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri Chakula 500,000/ Mavazi 500,000/ Usafiri wa kuoa 500,000/ Tent 100,000/ Madufu Madrasa 100,000/ Mapambo 100,000/ Generator&Mziki 100,000/ Dua ya la Kharusi 100,000/ Mpiga Picha...
  13. T

    Ushauri wa kitaalam tafadhali-side by side vs top freezer refrigerator

    Kwa wazoefu na wataalamu wa Friji. Je, ipi inafaa baina ya side by side. Yaani inakuwa na milango 2 iliyo sambamba. Upande mmoja unakuwa Friza na upande wa mwingine unakuwa Friji ya kawaida au ile iliyo zoeleka ya juu friza a chini Friji
  14. S

    PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  15. cold water

    Naomba ushauri

    Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
  16. cocastic

    Ushauri unahitajika hapa

    Hey Wajaaaaa!!! Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote. Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana. Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  18. FORBIDDEN HISTORY

    Ushauri kuanzisha biashara ya gum boots (rain boots) jumla na reja reja

    Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
  19. A

    Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

    Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa...
  20. Seran

    Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
Back
Top Bottom