Uwepo wa Wagner Group Africa ni tishio kwa usalama wa nchi zetu

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
947
684
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
 
Kuliko wale walowarubuni wazee wetu na kutuibia mali zetu kwa mikataba mibovu kupita maelezo?

Dhana ya kuibiwa ni ya kipuuzi zaidi na uimbwa na watu wa calibre hiyo.

Leo mmegawa Bandari kwa ahadi ya Tende na kujengewa misikiti then mnakuja kulia lia kuwa mnaibiwa.
Putin ameshindwa kuisadia nchi yake japo kuwa na rasilimali nyingi kuliko nchi yoyote leo hii ndiyo aje aikomboe Africa Bala la giza kila kitu?

Akili kimkichwa.
 
Wagner chini ya Prighozhin waulize NATO.

Ukiitaja tu mbele yao wanakujeruhi.
20230411_222939.jpg
 
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
Acha mawazo ya kitumwa
IMG_20230810_160846.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
Ukifikiria vizuri utaona Afrika hatujakuwa na usalama kwa miaka mingi sana.Upande wa Marekani umetupiganisha sana wenyewe kwa wenyewe mpaka tumekuwa maskini wajinga.Tunaweza tukaingia kwenye balaa jengine hata hivyo kuondokana na hili la mwanzo ni muhimu.
Huoni kwamba ni ujinga wa hali ya juu kwa viongozi wetu kukubali kuwa kuna Alshabaab na Alqaida mpaka Msumbiji.
 
Kama hakuna Al-shabaab Somalia nenda kalie kitimoto mtaani Mogadishu au Kismayo, tuone kama utarudi ni kichwa chako.
 
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom