benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa
Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi?
Soma:
- Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa